SuperImpressor
JF-Expert Member
- Oct 17, 2012
- 1,505
- 649
Nawapongeza sana Tritel (T) Ltd kwa kuwajali watu wa Tarime kwa kuwaletea mtandao wa kasi. Sikuamini macho yangu kwa sababu nilijua
Voda ndio wangelianzisha na sasa hivi naEnjoy Speed yake.
tRITEL si ilishakufa enzi ya mzee ruksa au mzimu wake bado unatembea?Nawapongeza sana Tritel (T) Ltd kwa kuwajali watu wa Tarime kwa kuwaletea mtandao wa kasi. Sikuamini macho yangu kwa sababu nilijua
Voda ndio wangelianzisha na sasa hivi naEnjoy Speed yake.
hongereni, inamaana muda wote ilikuwa ni edge? na hii tritel bado ipo kumbe mi nikajua ilikufaga miaka ileee
Kweli wakurya watata.. Hadi leo Tritel bado ina exist huko... Kazi kweli kweli
ndo kwanza naisikia
Imetulia kwelikweli
hata mi hapa nipo Nzega nina android nikisearch networks naiona zote na TRITEL TZ
nikiichagua hyo inarun kwny chip ya Voda. na inakasi ya ajabu inapanda inakua H
nikichagua Voda inakua Edge
Tritel imefufuka?