3G Mbagala

Mwendabure

JF-Expert Member
Mar 10, 2011
2,138
1,040
Wadau naomba mnifahamishe mtandao wa simu wenye kasi ya 3G ktk maeneo ya Mbagala. Huwa natumia sana simu yangu kuperuzi Internet, na hasa kwa kupitia mtandao wa Tigo ambao siwezi pata kasi ya 3G. Ukiwa unatoka Mbagala kuelekea kati ya Jiji 3G inaanzia maeneo ya Viwanja vya Sabasaba nakuendelea. Naomba msaada kwa mwenye kufahamu mtandao mbadala. Natanguliza shukurani Wakuu!
 
mmmh hata voda inazingua. Yaani kukaa kusini ni matatizo sana. Mara zote unasahaulika.
 
Back
Top Bottom