3G katika galaxy s4

3G katika galaxy s4

Kisali.TechnitianJr.

JF-Expert Member
Joined
Nov 2, 2012
Posts
592
Reaction score
183
Asalaaaaam Aleykuum waungwana. Msaada tafadhali wadau, natumia mtandao wa tigo na nimefanya setup ya internet lakini nimebulia 2g kila ninapojaribu ku-setup. Naomba msaada wenu waungwana!
 
aisee tigo sijui wakoje? maana hata mie nilikuwa nina Samsung galaxy y pro na haijawahi kuonesha 3G ila kwa airtel ni fasta. so kwa ushauri tu jaribu kuweka line ya mtandao mwingine kwanza
 
Kwataarifa tu ni kwamba hakikisha s4 yako ni original na kama sio original basi tambua kuna S4 zingine za kichina hazina 3g na zingine zinayo
 
Asalaaaaam Aleykuum waungwana. Msaada tafadhali wadau, natumia mtandao wa tigo na nimefanya setup ya internet lakini nimebulia 2g kila ninapojaribu ku-setup. Naomba msaada wenu waungwana!
Nenda ktk settings~connections~more networks~mobilenetworks~Network mode chagua WCDMA Oonly apo utakuwa umeicommand ikamate 3G pekee kama eneo ulilopo kuna 3G itanasa tu
 
aisee tigo sijui wakoje? maana hata mie nilikuwa nina Samsung galaxy y pro na haijawahi kuonesha 3G ila kwa airtel ni fasta. so kwa ushauri tu jaribu kuweka line ya mtandao mwingine kwanza

tigo haifai airtel pia wameshusha uwezo. mpango ni voda ila kwa kibaba
 
Asalaaaaam Aleykuum waungwana. Msaada tafadhali wadau, natumia mtandao wa tigo na nimefanya setup ya internet lakini nimebulia 2g kila ninapojaribu ku-setup. Naomba msaada wenu waungwana!

Inategemea na sehemu kama hakuna 3G aitashika
 
una uhakika n genuine hyo smu????????????/ maana kuna clone nyng na hazna 3g
 
Dah yaani hapa haya sielewi maana nikiangalia hii simi nina wasiwasi nayo katika uhalisia wake ingawa nime-run antutu benchmark na nimepata values zaidi ya elfu 30. Sasa sirlewi bado tatizo lipo wap mpaka sasa
 
Back
Top Bottom