donlucchese
JF-Expert Member
- Mar 23, 2011
- 17,257
- 22,138
Jamani nilikua naomba msaada wa basic tutorials wa hizo mambo juu. Na je,nchini kwetu kama kuna wataalam wa hizi softwea mbona hamna application kama kwenye movies na games programming? Maana mimi najifunza just for fun japo wenze2 they r making alot of money out of ths issue
Kama ni kujifunza, anza na blender 3D. Basics zote ni sawa, na features za blender ndizo hizo hizo in those commercial applications.
Baada ya kujifunza 3D space terminologies basi nakushauri uchukue Cinema 4D, ambayo ndiyo top dog in the commercial arena. google for Cinema4D tutorials, zipo nyingi tu.
Mwana 3D software kwa Tanzania zinatumika katika building construction zaid (Auto CAD) ingawa baadhi yetu tunajaribu kuzitia katika film kama behind the scene ya movie "The Crazy" ambayo nimetengeneza kama practice yangu juu ya 3D technology. Kwa upande wa tutorials mbona 3D max 5 inakuja na complete tutorials au tumia Blender 3D kama alivyo shauri jamaa hapo juu.
Behind the scene hiyo ipo YouTube - hermitscorp
NA
Taarifa kuhusu movie kamili ipo Hermitscorp Laboratory

Kwa sisi wenye interest na 3D designing njia mojawapo itakayotusaidia ni ushurikiano, ingawa sijui ni kwa namna gani kutokana na tofauti za kijiografia, lakini kwa mfano tunaweza kufanya mpango sisi ambao tuko tz tukafanya ka ushirikiano fulani, kwa mfano tukawa tunakutana mara mojamoja tukiwa na Laptop zetu, tukabadilishana software, mawazo nk, hii ni kutokana na kwamba hapa kwetu sidhani kama kuna shule za ukweli, wengi wetu tunajifunza out of passion na interest, kwa mpango huo sisi tutakuwa walimu na wanafunzi at the same time.
Niliwasiliana na mwana jf mwenzetu 3D. akasema tatizo la kujifunza bila mwalimu ni kwamba muda mwingi unatumika kuapat solution ya kitu ambacho mwalimu ange solve within a fraction of minutes. kwa hiyo tukifundishna wenyewe inaweza kusaidia kidogo.
Tukijitahidi watoto wetu wataacha kuangalia Tom & Jerry na wataangalia katuni za kiswahili za Sungura Mjanja, Juma na Roza, na pia tutatengeneza katuni zenye maudhui ya kwetu hata kama zitaongea kiingereza. Pia tutakuwa na satisfaction kwmba tume achieve goals zetu asikwambie mtu graphics ina raha yake bwana.
Good-luck all
Mwana 3D software kwa Tanzania zinatumika katika building construction zaid (Auto CAD) ingawa baadhi yetu tunajaribu kuzitia katika film kama behind the scene ya movie "The Crazy" ambayo nimetengeneza kama practice yangu juu ya 3D technology. Kwa upande wa tutorials mbona 3D max 5 inakuja na complete tutorials au tumia Blender 3D kama alivyo shauri jamaa hapo juu.
Behind the scene hiyo ipo YouTube - hermitscorp
NA
Taarifa kuhusu movie kamili ipo Hermitscorp Laboratory
Kama ni kujifunza, anza na blender 3D. Basics zote ni sawa, na features za blender ndizo hizo hizo in those commercial applications.
Baada ya kujifunza 3D space terminologies basi nakushauri uchukue Cinema 4D, ambayo ndiyo top dog in the commercial arena. google for Cinema4D tutorials, zipo nyingi tu.
Thanks 3D, for correction, si unajua tena kidhungu kinatupa tabu 😉
Kuhusu kuwashirikisha 35+yrs ni kweli,ila kwa "The Crazy" wamo na pia cover inaonesha vijana 2 kutokana na dhima wenyewe
happy day..........
wazo zuri sana mkuu
@Lukansola
Umeongea la ukweli mwana me mwenyewe nina kui kubwa ya kutengeneza full featured cartoon movie yenye combination ya 2D character with 3D Background ila nashindwa kutokana sijui wapi nitapata mwenza mbaye tutasaaidiana kufanikisha ilo--ukiangalia web yangu itaaona jinsi nilivyojaribu kufanya hicho kitu---so namkaribisha yoyote kuungana na mimi vyovyote kama atakuwa tayari. My web is under sign tab.
@All
Mwenye kazi yake yoyote inayohusu 2D/3D na software (Mobile or PC Software) kiujumla namkaribisha kuungana na mimi kuendeleza na kutangaza kazi hiyo kwa sababu:
1. Mimi ni NOKIA Qt ambassador-so nini special status katika NOKIA ovi store na Nokia Corporation yenyewe.
2. Ni mzalendo na mjali kazi ya mwenzangu
3. Web yangu inajulika kwa kiasi flani
4.Napenda kushare idea na vijana wenzangu
(sijali kabila wala dini )