giftcharles
Senior Member
- Aug 11, 2015
- 147
- 77
Sijakuona tangu......Safi sanaaa
Nimepata majangaaaSijakuona tangu......
Pole sanaNimepata majangaaa
Umeiona avatar yake ...astaghafulirah ..ni balaaPole sana
Nilikuwa sijaizoom ndio nimeizoom sasa hivi baada ya kuona hii comment yako.Umeiona avatar yake ...astaghafulirah ..ni balaa
Ni kwamba umecreate wewe izo design au unajifunza?Baada ya render ya PSPF towers, saizi nimeamua kufanya ya Victoria tower ndani ya jiji la Nairobi.
Cheki render ya PSPF hapa: https://goo.gl/6fz2eJ
Ni kwamba umecreate wewe izo design au unajifunza?
Safi sana KiongozHapana Mkuu, design original ya jengo ni ya mtu mwingine, mimi natumia tu majengo ambayo tayari yapo kama inspiration ya kufanyia 3d Modeling, lakini natamani siku kufanya design ya jengo langu mwenyewe.
Ushamba wangu,sijavutiwa na hii kitu..
Keep it up boy..Hapana Mkuu, design original ya jengo ni ya mtu mwingine, mimi natumia tu majengo ambayo tayari yapo kama inspiration ya kufanyia 3d Modeling, lakini natamani siku kufanya design ya jengo langu mwenyewe.