Samahani kwanza nadhani ulikusudia jina lako kuwa 'Endocrinologist' labda?
La pili, black and white umekusudia nini? Nikisoma hapo naona kama wewe umejinasibu black and white ina maana umechanganya mzungu na mwafrika?- enzi za George Jefferson (wa comedy the Jeffersons) angekwita zebra
Bwana Engineer ndiyo wale wenye GPA ya 35?