37th UDSM Graduation Ceremonies which will be held in two clusters

Gembe

JF-Expert Member
Sep 25, 2007
2,483
156
UNIVERSITY OF DAR ES SALAAM

Press Release

University of Dar es Salaam Graduation Ceremonies!The Chancellor of the University of Dar es Salaam, Ambassador Fulgence Kazaura has approved the dates of 37th Graduation Ceremonies which will be held at the UDSM Sports Grounds as follows:

24th November, 2007 for Cluster A and
1st December, 2007 for Cluster B.
All the ceremonies are scheduled to start at 2.00 p.m. The composition of the clusters will be as follows:

Cluster A:

Faculty of Arts and Social Sciences
Faculty of Aquatic Science and Technology
Institute of Journalism and Mass Communication
College of Engineering and Technology
School of Graduate Studies

Cluster B:

Faculty of Commerce and Management
Faculty of Education
Faculty of Informatics and Virtual Education
Faculty of Law
Faculty of Science

ALL GRADUANDS are therefore advised to observe the stated dates and the clusters they belong to.

ISSUED BY PUBLIC RELATIONS OFFICE
20th October, 2007

kwa mara ya kwanza wameamua hivi,hata hawajatoa sababu ,hivi hawa ndio wasomi tunawategema kutoa habaro za maana
 
Nadhani sababu ya mSingi ni nafasi finyu ya kufanyia mahafali ikilinganishwa na idadi ya wahitimu,Kama itakumbukwa zaman ilikuwa ikifanyika pale FoE ground, nowdays wamehamishia kwenye Uwanja wa mpira na bado ni vurugu tupu siku ya mahafali
 
Hivi kwanini mahafali yanafanyika November? Kwanini mahafali yasifanye mwisho wa semester? Unamaliza mitihani ya mwisho, unakabidhi vifaa vya shule, unakwenda kwenye mahafali, mahafali yakimalizika unakwenda kwenu jumla.
 
UNIVERSITY OF DAR ES SALAAM

Press Release

University of Dar es Salaam Graduation Ceremonies!The Chancellor of the University of Dar es Salaam, Ambassador Fulgence Kazaura has approved the dates of 37th Graduation Ceremonies which will be held at the UDSM Sports Grounds as follows:

24th November, 2007 for Cluster A and
1st December, 2007 for Cluster B.
All the ceremonies are scheduled to start at 2.00 p.m. The composition of the clusters will be as follows:

Cluster A:

Faculty of Arts and Social Sciences
Faculty of Aquatic Science and Technology
Institute of Journalism and Mass Communication
College of Engineering and Technology
School of Graduate Studies

Cluster B:

Faculty of Commerce and Management
Faculty of Education
Faculty of Informatics and Virtual Education
Faculty of Law
Faculty of Science

ALL GRADUANDS are therefore advised to observe the stated dates and the clusters they belong to.

ISSUED BY PUBLIC RELATIONS OFFICE
20th October, 2007

kwa mara ya kwanza wameamua hivi,hata hawajatoa sababu ,hivi hawa ndio wasomi tunawategema kutoa habaro za maana

Ama kweli binadamu tuna tofauti katika migongano ya mawazo. Sasa ndugu yangu mkomboziufisadi, ni lipi hasa linalokusumbua katika utaratibu huo. Umewauliza wakashindwa kukupa jibu kwa nini wameamua kufikia utaratibu huo.

Binafsi, sioni tatizo liko wapi. Graduation ya mwaka 1975 haiwezi kuwa sawa na graduation ya mwaka 2005. Mwaka 1975 idadi ya wanafunzi ilikuwa ni ndogo ukilinganisha na leo hii 2007. Kwa hivyo utaratibu wa mwaka 1975 hautoshelezi mahitaji ya 2007. Katika nchi za magharibi graduation huwa zinafanyika kwa zaidi ya siku tano mpaka saba.

Halafu hii sehemu ni ya Migongano ya mawazo.Sidhani kama hii mada yako inalenga hasa kugonganisha mawazo ya wana JF. Unahitaji kuwa makini kidogo unapo-post topic. Kumradhi kama nitakuwa nimekuudhi kwa hilo. Naomba kutoa hoja.
 
hapo sijaona tatizo bado.

kuna nchi nyengine zenye vyuo vyenye wanafunzi wengi, wanafunzi wote wanaohitimu wanawekwa kwenye holi moja, na wazee wanakaa sehemu nyengine ila wanaona live kwa screen (kama cinema).

aidha, wanafunzi wanaopokea vyeti vya phd tu ndio wanaopewa vyeti wote, na best students wa kila faculty, hutoka mbele akapokea vyeti kwa ajili ya wanafunzi wengine wa faculty yake.

akiitwa huyo mwanafunzi mmoja, cheti kinasomwa full huku wanafunzi wa faculty ile wakiwa wamesimama kwa pamoja.

hii ni kwa ajili ya kupunguza msongamano na kuifanya siku hii iwe nyepesi kwa wahitimu na sio kero.

hata utaratibu huo wa kugawa siku mbili naona si mbaya kwa upande wangu
 
Similar Discussions

1 Reactions
Reply
Back
Top Bottom