36, job vacancies at bamboo-rock limited | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

36, job vacancies at bamboo-rock limited

Discussion in 'Nafasi za Kazi na Tenda' started by BAMBOO ROCK LIMITED, Nov 2, 2013.

 1. BAMBOO ROCK LIMITED

  BAMBOO ROCK LIMITED New Member

  #1
  Nov 2, 2013
  Joined: Nov 2, 2013
  Messages: 1
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  I: SURVEY ASSISTANTS (2 POSTS)

  Reporting Line: Mine Surveyor
  Work Schedule: 6 weeks on - 2 weeks off
  Duty Station: Tanga

  ESSENTIAL DUTIES AND RESPONSIBILITIES;

  The principal duties include but not limited to;
  -Assist the mine surveyor in any task required for the maintenance of surveyor control.
  -Ensure all survey stations are positioned and placed correctly as directed by the mine surveyor.
  -Regular stock taking of survey consumables to ensure there is at least the minimum required kept in the survey store at all times.
  -Daily vehicle cleaning, checks and timely reporting of any defects liaise with maintenance department when reporting defects at regular service intervals.
  -House keeping in the mine survey office,the survey archive hut and the survey store.
  -Writing comprehensive daily survey assistants reports.

  QUALIFICATIONS;
  -A minimum of Ordinary level certificate of secondary school education (Form IV) Or Advanced level (Form VI).
  -Ability to maintain accurate records.
  -Should Have a Valid Tanzania Driving Licence Class D or E as an added advantage on applying for this post.
  -Must have a good communication skills with the ability to read and write in English
  -Certificate in survey from a recognized learning institution.

  II: LOGISTICS OFFICER (2 POSTS);

  Reporting Line: Warehouse Supervisor
  Work Schedule:6 weeks on - 2 weeks off
  Duty Station: Tanga

  QUALIFICATIONS;
  -At least 3 years working experience dealing with procurement and logistical activities, and warehouse management.
  -Should be a computer literate
  -Ordinary Diploma in Materials Management
  -Good communication skills in both speaking and writing

  III: TRADESMAN- HEAVY DUTY DIESEL FITTER MECHANICS( 4 POSTS);

  Reporting Line: Workshop Supervisor
  Work Schedule: 6 weeks on - 2 weeks off
  Duty Station: Tanga

  QUALIFICATIONS;
  -Holder Certificate of Vocational Education Training (VETA) Grade II or above from a recognized training institution
  -Knowledge of mechanical production equipments including heavy duty familiar with CAT. like Dozers,Front end loaders, Excavators, Dumptrucks and the same
  -Holder of National Certificate of Secondary Education Examination Form IV or above
  -Self motivated, able to work under pressure with limited supervision

  IV: HEAVY EQUIPMENTS OPERATORS DUMPTRUCK, DOZER,WHEEL-LOADER,GRADER,EXCAVATOR (15 POSTS)

  Reporting Line: Mining Supervisor
  Work Schedule: 6 weeks on - 2 weeks off
  Duty Station: Tanga

  QUALIFICATIONS;
  -A minimum of 'O' level Education Form Four
  -Knowledge of operation of heavy equipments
  -Knowledge of operating more than one type of equipments ( Multi-skilled) will be an added advantage
  -2 years experience in mining/construction industry while operating amongst of the equipments


  V: HEAVY EQUIPMENTS OPERATOR TRAINEES -(5 POSTS)- (Only for the residents of the mine surrounding area -Tanga.)

  Reporting Line: Mining Supervisor
  Work Schedule: 6 weeks on - 2 weeks off
  Duty Station:Tanga

  QUALIFICATIONS;
  -A minimum of Ordinary level education (Form IV)
  -Proven verbal and writing skills
  -Knowledge of open cast mining is an added advantage

  VI: SECURITY GUARDS ( 6 POSTS);
  Reporting Line: Security Supervisor
  Work Schedule:4 weeks on- 2 weeks off
  Duty Station:Tanga

  QUALIFICATIONS;
  -Must have O level Certificate with passes in English
  -At least 2 years experience while working in security company especially in mining company(will be an added advantage)
  -Certificate of security training from a recognized institution like JKT, or Army( will be an added advantage)


  VII: DATA CLERKS/DATA ANALYST (2 POSTS)
  Reporting Line:-
  Work Schedule:6 weeks on- 2 weeks off
  Duty Station:Tanga

  QUALIFICATIONS;
  -Holder of O Level Secondary Education Certificate
  -Should be a computer literate with a certificate in Word processing, Spreadsheet, PowerPoint & internet applications- from a recognized learning institution
  -familiar to use data programs from jigsaw technologies (leica)


  NOTE: These positions will attract a competitive salary packages according to the post applied, which will also include exellent benefits like transport allowance in/out off site, meal and accomodation will be provided on site with fully fenced security campsite.


  MODE OF APPLICATIONS
  All applicants with detailed CV, Attached with scanned copies of relevant certificates with contact details are invited to submit their resumes ( indicating the position title in the subject heading) Via Email to;
  applydar@gmail.com website; www.bamboo-rocktz.com

  "Only short listed candidates will be contacted"
  Foward your Cv not later than 22/11/2013. late applications will not be considered.
   
 2. Ryoba Warioba

  Ryoba Warioba Senior Member

  #2
  Nov 2, 2013
  Joined: Sep 1, 2013
  Messages: 131
  Likes Received: 126
  Trophy Points: 60
  Du! Nafasi zote hizi! I thank god nimeiona yangu.kwa stili hii ya kupeana taarifa ni nzuri sana. Big up you guys
   
 3. MAGAMBA MATATU

  MAGAMBA MATATU JF-Expert Member

  #3
  Nov 3, 2013
  Joined: Jul 2, 2011
  Messages: 617
  Likes Received: 220
  Trophy Points: 60

  Vijana muache uvivu wa kukubali mambo mapema na kutoa shukrani bila kufanya utafiti ya kile kinachoandikwa,,,hapo kampuni inaonekana ina website,lakini website haifungui,,halafu kampuni kubwa kama Bamboo navyoijua ni kampuni inafnya kazi ya mining kule chunya ikiwa chini ya Kampuni ya Shanta Gold lazima barua pepe yake(email addres) ya kazi iwe na log ya Bamboo sasa hapa inaonekana application watu watume kupitia email private ya mtu ambayo ina log ya gmail ambayo hata mm naweza kuitengeneza,,,guys be serious before doing things,,mm ni raia mwema nawatahadharisha maana utapeli ni mwingi sana hapa TZ,,,muwe mnasoma vizuri vitu na kuviprove kabla hamjafurahia matunda,,msipende kurahisisha vichwa,,,,ndo mambo ya division 5 haya,,,,mimi nasign out,,,,,
   
 4. figganigga

  figganigga JF-Expert Member

  #4
  Nov 3, 2013
  Joined: Oct 17, 2010
  Messages: 14,853
  Likes Received: 6,265
  Trophy Points: 280
  website yao ukiifungua wanakuambia coming soon!. mia
   
 5. makandomende

  makandomende Member

  #5
  Nov 3, 2013
  Joined: Sep 2, 2013
  Messages: 82
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 0
  Sioni cha kupoteza kama watu watatuma,
  Maana kama si kweli basi itakuwa hivyo, la kama ni kweli ni advantage kwao. Let them try it nothing to loose.
   
 6. Ndibalema

  Ndibalema JF-Expert Member

  #6
  Nov 4, 2013
  Joined: Apr 26, 2008
  Messages: 10,915
  Likes Received: 116
  Trophy Points: 160
  Du! kampuni ina akaunti JF! Email address .... gmail.com
  Utapeli mtupu!!
   
  Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
 7. MAGAMBA MATATU

  MAGAMBA MATATU JF-Expert Member

  #7
  Nov 4, 2013
  Joined: Jul 2, 2011
  Messages: 617
  Likes Received: 220
  Trophy Points: 60

  Ndo maana nilisema watz wana mawazo mafupi sana ya kutofikilia mbele kitakachotokea kama kina madhara au hapana,,,leo wewe hutayaona madhara na gakuna watu watakachopoteza kutokana na mawazo yako mafupi ya kutokuwa na uwezo wa kufikiri mbali,,,ila hali pale watu watakapotumia pesa zao kuapply kazi bila mafanikio leo unaona hakuna watakachopoteza,,,kumbuka mda ni mali,pale unapopoteza mda wa kwenda internet kuapply kazi isiyo na matokeo chanya basi jua huo mda ungeweza kufanya kazi nyingine ya kujiingizia kipato,,na kubwa zaidi baada ya watu kuapply na kuanza kupigiwa cm za kutapeliwa kutoa pesa ili wapate kazi huku wakiamini kuwa wakifanya hivyo watafanikiwa kazi,,hapo huoni watakachopoteza kwa upeo Salome mdogo ulionao,,,ila nisiwe against sana na wewe maana inawezekana na wewe ni moja wa huu mradi usiokuwa na macho,,,think b4re do, I sign out,,,
   
 8. Makala Jr

  Makala Jr JF-Expert Member

  #8
  Nov 4, 2013
  Joined: Aug 25, 2011
  Messages: 3,397
  Likes Received: 16
  Trophy Points: 135
  Ndibalema; Hapa ndipo wahenga walisema wajanja wawili hawapiti njia moja vinginevyo ni mjanja mmoja na mjinga wake.Siku hizi malalamiko ya kutapeliwa ni kila kona!
   
  Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
 9. makandomende

  makandomende Member

  #9
  Nov 4, 2013
  Joined: Sep 2, 2013
  Messages: 82
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 0
  Hivyo unataka tuamini kuwa Tangu wewe binafsi umeanza ku-apply au wengine matokeo kwenye kila application yamekuwa positive tu?

  kama ilivyo kwenye maisha ni try and error ndivyo ilivyo hasa kwa masuala ya ajira.

  TATIZO TUNAONGEA SANA: ZIKITOKA SERIKALINI MNASEMA HIZI NI ZA WATOTO WA VIGOGO FUKARA HAPATI, haya ZIKITOKA OFISI BINAFSI: OOOH....MATAPELI acheni kuwakatisha tamaa ndugu wanotafuta ajira,
  NAAMINI UNA AJIRA ulivyoipata ajira hiyo haukuwa na uhakika ulijaribu, unless kama ofisi ilikuwa ya undugu wa karibu au ujamaa vinginevyo ulijaribu....sasa fikiri kama ungeambiwa haya unayowaambia wengine ungeipata???
  NAAMINI PIA: wanaotafuta ajira si U18yrs, wana akili timamu wanajua utapeli ni upi, na ukweli ni upi.

  NIKUSAIDIE TU: Kama ulikuwa na nia ya dhati kuwasaidia ndugu zetu wanaotafuta ajira Ulichopaswa ni kuwapa tahadhari tu kuwa pamoja na kuomba wasikubali kutuma fedha MAANA KATIKA EMPLOYMENT SYSTEM hakuna kutoa fedha labda iwe tenda ndio hutuma application fee.
  lakini si kuwalaumu na kuwaona wana akili fupi kama unavyosema
  Guy....take it from me your msg wasn't right (abusive and arrogant)

  NDUGU ZANGU MNAOTAFUTA AJIRA: Msikate tamaa, nchi yetu kupitia sera yake ya uwekezaji inaruhusu kampuni halali kuwekeza nyingine ni mpya hatuzijui zote hata ndugu aliyetudharau kwa kiasi fulani hazijui zote, hivyo kazi ni try and error with care, hutuwezi jua utapata wapi. Na huwezi kuota ni mpaka kujaribu.

  KIKUBWA: Muwe makini na simu za utapeli zinazopigwa kuwaahidi kazi kwa fedha,

  Naomba kuwasilisha
  "God will make a way where there is no way"
  stay focused
   
 10. jrmlaurence

  jrmlaurence Member

  #10
  Nov 4, 2013
  Joined: Dec 2, 2010
  Messages: 80
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 15
  Jamani wana JF msidanganyike, mimi nafanya kazi hapa Bamboo Rock, ofisi zetu zipo Tirdo Msasani hatujatangaza nafasi yeyote ya kazi na huu ni utapeli. Jamaa watakuita kwa interview then watakwambie utoe ela ili upate kazi, kuweni makini na matapeli siku hizi wamekuwa wengi sana kwenye mitandao ya jamii. Kwanza kampuni kubwa ya mining haiwezi kuwa member JF, pili ni vema utembelee ofisi zetu zipo ndani ya Tirdo ilipokuwa bodi ya mikopo zaman kwa maulizo usije ukaibiwa.
  Poleni wote mliotaka kutapeliwa.
   
 11. v

  vickitah Senior Member

  #11
  Nov 4, 2013
  Joined: Jun 18, 2010
  Messages: 152
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 33
  I think the guy was right and very catious, kuna vitu you have to be very careful sana ili visikupotezee muda, hela na kukukatisha tamaa.. Unapopewa taarifa ni vizuri ushukuru kuna watu wanakujali na kukuambia,
   
 12. Deo Corleone

  Deo Corleone JF-Expert Member

  #12
  Nov 4, 2013
  Joined: Jun 29, 2011
  Messages: 14,441
  Likes Received: 2,168
  Trophy Points: 280
  Hakatwi mtu hapa manina zenu:sheeeenz
   
 13. MAGAMBA MATATU

  MAGAMBA MATATU JF-Expert Member

  #13
  Nov 5, 2013
  Joined: Jul 2, 2011
  Messages: 617
  Likes Received: 220
  Trophy Points: 60
  Bora uwambie ukweli kaka maana watz wachache wapo ambao hawana akili ya kuchambua mambo,,akili yao inataka ni kurahisisha tuu mambo harafu yakiwaharibikia ndoo wanaomba msaada,,,Bamboo naifahamu vizuri,,ni kampuni kubwa ya mining kule Chunya Mbeya ikiwa chini ya kampuni ya Shanta Gold,,,haiwezi kukosa emails addres iliyo na log yao,,,haya mambo yalishawahi kutokea mgodi wa Barrick Bulyanhulu na watu wakapotezewa mda wao na watu wakatapeliwa,,,,,take care tz guys,be serious,
   
 14. MAGAMBA MATATU

  MAGAMBA MATATU JF-Expert Member

  #14
  Nov 5, 2013
  Joined: Jul 2, 2011
  Messages: 617
  Likes Received: 220
  Trophy Points: 60

  na pia inatakiwa ujue kampuni nyingi siku hizi ma HR wao wametanguliza sana rushwa ili upate kazi,,so ni bora utoe hiyo hela basi uhakika wa kupata kazi au kujua hii kampuni ipo uwepo kuliko hakuna kila kitu
   
 15. Ryoba Warioba

  Ryoba Warioba Senior Member

  #15
  Nov 5, 2013
  Joined: Sep 1, 2013
  Messages: 131
  Likes Received: 126
  Trophy Points: 60
  mhh....1! maaambo hayo!, lakini, mbona tunaona kampuni kubwa kama vodacom,airtel ,migodi mikubwa kama barrick ina account kwenye mitandao ya kijamii, inakuwaje hapaa? wadau.... ina maana kweli tunadanganywa!!?? mtu anaweza kupoteza mda kupost vitu kama hivi? ila ni vema kugoogle kwanza kwenye mitandao mingine ya kazi kama kweli wametangaza kuliko kuwakatisha watu tamaa hasa WEWE MAGAMBA MATATU, Jivue gamba!, Mmi sioni hatari yoyote mtu kuapply as long as post yake ipoo/ kwani kufoward cv toka kwenye email ina cost mda na kiasi gani? hata ukiwa na sim unatuma/ acheni kukatisha watu tamaa jamani wote humu ni watu wazima na akilizao, unachukua linalokufaaa/ pumba unaacha humu humu/ ni hayo tu asubuhi njema wadau.......acheni kukatisha watu tamaa jamani hasa nyinyi mlioko kwenye ajira..............
   
 16. jrmlaurence

  jrmlaurence Member

  #16
  Nov 5, 2013
  Joined: Dec 2, 2010
  Messages: 80
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 15

  Moses Ryoba, we najua unaifaham Bamboo Rock vizuri ulishawah kufanya kazi kama Dozer Operator na unajua utaratibu wa Bamboo wanavyoajiri, Jee kama nafasi zimetoka umeshakwenda ofisini kwao kuulizia?
  Pili, Bamboo kwa sasa hawana nafasi za kazi kwanini mnang'ngania watu wa apply kwenye gmail?
  Tatu kama kuna mtu anatafuta kazi unatakiwa utume maombi kwenye email yao, info@bamboo-rock.com ila kwa sasa hawana nafasi mpaka hapo zitakapotokea, it means application yako wataiweka kwenye data base yao na siku zikitokea nafasi utajulishwa ili uende kwa interview.
  Mwisho nasisitiza ni vema uende ofisin kwao zilizopo Msasani ndani ya Jengo la Tirdo ukawaulize kama wana nafasi au hawana kuliko kukaa kweny JF halafu badae ukatapeliwa, ''Think twice before you act''
   
Loading...