350000/= nahitaji ushauri

Baba Kapompo

JF-Expert Member
Sep 11, 2013
1,343
462
jamani naomba ushauri nifanye biashara ya aina gani nina mtaji/bajeti ya laki tatu na nusu(350000) tu
naishi dar.. taaluma yangu ICT .. hii yote ni baada ya kukosa ajira na kutanga tanga na maisha nimejichanga nikamake hyo pesa.
nawasilisha
 
Kama huna computer nunua moja, ni kama 250,000 used, nunua subwoofer 80,000 fungua kijiwe cha kuingiza nyimbo ktk simu na kukodisha cd uswahilini,
 
Pia ungespecify taaruma yako ni ktk ngaz ipi cheti, diploma, au graduate.
mkubwa safar yangu ya taaluma ilishia diploma semister ya pili according to matatzo ya dunia (so inshort nimeishia ngaz ya chet)
 
Attachments

  • 1401895825864.jpg
    1401895825864.jpg
    54 KB · Views: 334
mh... haupo serious ...km vp kalale ukue
Acha ujinga na uzoba weweee.. Haya mambo ya kujagua kazi na biashara ndo yanakufanya uendelee kuwa jobless.. Na utaendelea hivyo kama hutabadilisha attitude yako yakishamba... Kuna watu wamesomeshwa kwa biashara za gongo za wazazi wao lakini wakimaliza chuo ndo wakwanza kuponda hio biashara...!!!
 
Mkuu fata ushauri wa Jamaa wa kwanza at list katoa ushauri mzuri wakununuwa computer kulingana na bajet yako
 
Jaribu kupenyeza taaluma yako kwa wanafunzi wa vyuo,maofisini, cha msingi technically uwe vzuri, wakikujua kwamba sio mbabaishaji utafanya kazi sana.mwenyewe baada ya life kubana nlipita huko saizi npo vzr.
 
sawa mkuu wazo zuri sana
 
Kama huna computer nunua moja, ni kama 250,000 used, nunua subwoofer 80,000 fungua kijiwe cha kuingiza nyimbo ktk simu na kukodisha cd uswahilini,

computer+subwoofer = 330,000 umeme je? CD je? na computer ataweka wapi?
 
Back
Top Bottom