real G
JF-Expert Member
- Feb 7, 2013
- 5,227
- 5,296
Waziri wa Afya Ummy Mwalimu amesema kuanzia mwezi wa 9 mwaka jana kulipotokea mlipuko wa ugonjwa wa kipindupindu hadi mwisho wa mwezi wa tano mwaka huu jumla ya watu 21,634, na waliofariki kutokana na ugonjwa huo ni 338
Amesema ugonjwa huo karibia wanautokomeza kwa kuwa sasa hivi wagonjwa wapya ni 512 ikiwa ni idadi ndogo ukilinganishwa na idadi ya wagonjwa miezi iliyopita
ameongezea serikali imetumia milioni 900 kuanzi mwezi Novemba hadi sasa na wanatarajia kuutokomeza ugonjwa huo mwezi Juni