300 Billion from Stanbic Bank goes unaccounted

Hapa tumgojee Faiza Fox ataingia na utetezi wake tuu, subiri uone!!!!!!!!!!!!!!!!!!!
 
nilipokusoma tu mpwa nikaweka wimbo wa rose mhando nibebe nibebeeeee nibembeleze nibebeeeee mikononi mwako nifike salamaaaaaaaaaaaaa

Ndugu yangu Nchi hii ukistaajabu ya Mussa utaona ya firauni......yaan wakati mwingine ukifuatilia sana haya mambo unaweza kuwa mento, interest inalipwa kwa kodi za wavuja jasho.
 
Some details missing? 300bn. ni kiasi kikubwa, kama haikwenda kwenye barabara basi itakuwa imeelekezwa kwenye matumizi mengine. Ukifuatilia hapa utakuta huenda ni posho za wabunge na ruzuku za vyama vya siasa?
 

Another escrow; thia isnt strange;! kwa wale ambao wako kwenye siasa wanajua kua utawala ukiitaji fedha ambayo matumizi yake sio justifiable ama yana mashaka other means should be used to outsource the money. Mara nying njia hizo si njia halali bali znaziambatana na kutofuata taratibu ama kuzidisha gharama kwenye miradi mikubwa. Cha msingi ni ela ipatkane iwe ya escrow ama ya mikataba ya gas au ujenz wa bomba la gas you just need to make evrything x2 or ×3 Usishange hata kwenye siasa kuna mathematics
 

Another escrow; this isnt strange;! kwa wale ambao wako kwenye siasa wanajua kua utawala ukiitaji fedha ambayo matumizi yake sio justifiable ama yana mashaka other means should be used to outsource the money. Mara nying njia hizo si njia halali bali znaziambatana na kutofuata taratibu ama kuzidisha gharama kwenye miradi mikubwa. Cha msingi ni ela ipatkane iwe ya escrow ama ya mikataba ya gas au ujenz wa bomba la gas you just need to make evrything x2 or ×3 Usishange hata kwenye siasa kuna mathematics
 
Hivi si wanasema Kamishina Mkuu wa Mamlaka ya Mapato Tanzania - TRA wa sasa kipindi hio alikuwa na kaubosi kwenye hiyo benki!? Wezee wa kuconnect dots hebu tusaidie kidogo hapo!
 
Na ili tuyajue mengi yaliyomo mvunguni tumfukuze huyo mpangaji wa magogoni 2015. Mbona patakuwa hapatoshi!.
Hivi hakuna auditing katika pesa za umma siku hizi?. Hawa wanasiasa wana nguvu kubwa kiasi gani cha kuiingilia hazina watakavyo?.
Ifike mahali hawa wataalamu walioajiriwa kwenye taasisi za fedha wakatae kuwa sehemu ya kuuwezesha ufisadi ili kulinda taaluma zao na heshima ya kazi zao yaani wawe wazalendo.
 
Kwani magufuli naye ametangaza nia?naona mdogo mdogo mmeanza.spika alisema Mungu pekee ndo anamjua rais wa nchi hii!mnahangaika kitu gani?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…