30 years older,anataka,nifanyeje?

Mtaka cha uvunguni......! Mpe mzee mashine aendeshe.
 
ukitaka kula, lazima uliwe----j.k 2011
 
Hapana msichana mzuri hivi, kwann usile ujana wako na vijana wenzio? Una pupa na maisha wewe!
Achana na hizo fedha ndizo zinakufanya udhani unampenda. Fanya kazi kwa bidii, tumia akili na maarifa Mungu aliyokujalia.
Kwani huna shughuli ya kukuletea kipato? Fedha ni nzuri ya kutafuta mwenyewe.
Pili huyo ni mume wa mtu, huyo hakufai! Bora angekuwa hana mke. Nakwambia unajipotezea bahati yako ya kumpata mume. UTAJUTA NA UZURI HUO UTASAGA MENO...
Usiangalie mwisho wa pua yako! Maisha ya uke wenza ni utumwa mno! Acha mdogo wangu. Tulia muombe Mungu atakupa jamani. Mbona wenzio tuliomba tukapata?
 
Mmmmh sikushsuri banz mwache akajilie mzee mwenzake lakii ujue mpaka lini utskila vys dezo.

Lakini huogopi michirizi ya nyama za uzee, I see horror movie here
 
Mmmmmh!

Mzee kumkabili yataka roho ya kutu. Pata picha kijana akiwa mtupu atisha haswaaaaa!

Pata picha p zina makunyanzi, vuzieing full mvi! Bado ngozi nyorodo!

IGA UFE!

sister lara 1 hebu jaribu ku-elaborate kidogo! Ushaniacha bibie!
 
Last edited by a moderator:
Mmmmh sikushsuri banz mwache akajilie mzee mwenzake lakii ujue mpaka lini utskila vys dezo.

Lakini huogopi michirizi ya nyama za uzee, I see horror movie here

MadameX, i hope you are 20's! Right....? Hebu sema kwanza halafu nikwambie kitu!
 
Last edited by a moderator:
what goes around.....................................
na wewe utaolewa,afu mme wako atakuwa anagegeda nje, sijui utalalamika

mi nadhani amependa misaada, anatafuta namna ya kuilinda isikatike.
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…