30 years older,anataka,nifanyeje?


huyo ni mme wa mtu,kwa nini unataka kuharibu ndoa ya watu?
 
Jitambue unataka nin kwake.Kama Pesa fanya kazi popote pale zingatia mazingira magumu ya kazi huambatana na mshahara mnono kama sivyo teminate mkataba

Sent from my BlackBerry 9780 using JamiiForums
 
Mhhh we acha kujishaua shau hapa, wakati unakikubali na kula mijihela na unaendelea kula unategemea nn.... Mpe hicho kibibi akile, tena wazee wa siku izi wana dawa za kichina ,ukiingia tu li dushelele hiloo...kazi kwako mama
 

Nyie watoto wa kike mkoje? Wewe huna mpenzi mwenye future naye? Naumia sana nikiona wake za watu watarajiwa mkitumika na wazee at will kwa tamaa zenu halafu baadaye kulalamika hamuolewi! Mwili wako ni takatifu una dhamani hauna bei kama unavyofikiri jitunze!
 
Ukitaka kula lazima nawewe uliwe japo kidogo! source:Jk
 
Kama anakusaidia mambo mengi na wewe ndo msaidie hilo moja

Afu hiyo tabia kujishaua vijana sijui nini nini, we unadhan mke wa huyo mZee anakuonaje... Unatembea na mume wa mtu bila Aibu afu unalalamikia vijana hawajatulia wewe umetulia. Muone bichwa lile....Naomba huyo mzee awe na ukimwi siku unampa mambo akupe virusi hapo hapo
 

Hiyo ndo bakora kwake
 
Leave our senior citizens alone! Wengine wanakandia uzee utadhani walishaipita hiyo era. What you despise in others comes your way threefold!
 

mpe tu mbona anakusaidia sana na hutaki kuvunja uhusiano
 

.....
Hufyuuuuuuu.......!
1-Hustahiki kuwa na Mzee! Eti vijana wamekushosha, Unajua ku-generalize dada, hongeraa!
2-Ni dhambi kuzini + mme wa mtu, kama ni cheo bas unatunukiwa Sayari zote!
.......
Unaumri gani?
Kuna neno linaitwa 'UVUMILIVU' Unalijua hili?
Vijana wote hawawezi kukusaidia (kifedha)?
Vijana wote hawajui kupenda?
......
Ebbos watoto wazur afu mnaliwa na vizee! Mwenyewe unaona kisisi kuona Gobole na map*mbu yake!
......
Kama vipi njoo kwangu!!!!!!
 
Dah hio tofauti ya umri ni kubwa sanaaaa yaani huyo anakuzaa kabisaa hata sijui nikushauri nini?Fumba macho tu then utazoea taratibu mkishafanya mara kadhaa :smile-big::smile-big:Vizee vingine vina shida sana...

Leo umeniacha hoi!
 
hela tamuu ila malipo yake jamani!!?
..kulala na mzee inataka moyo mgumuq
Labda upige ulabu ulipe vya watu, la sivyo uvunje mkataba tu
 
Ahhhh 30 years we ni mdogo?we ni mzee kama ni mwnamke!mpe nyoko wew ,we utakuwa mwizi
 

Subiri mtakaponatana ndo utajua utamu wa misaada...God hear my prayer
 
Kama una imani ya dini yoyote basi zingatia maadili ya dini yako,
Kama ni kuolewa mkaribishe kwa vizuri kwa wazee wako usijaribu kufanya kabla ya ndoa, uzee sio tatizo unaniambia kuwa nami siwezi kuoa kijana?
Mueleze ukweli kuwa hiyo tabia sio nzuri na unamuheshimu kama ni mwanamume mwenye mke na watoto na unaheshimu ndoa yake, vyenginevyo uamuzi unao wewe mwenyewe
 
......nimetokea kupendwa na kumpenda mbaba mmoja Mtu mzima,baada ya kuchoshwa na kero za vijana,.........Mimi sitaki kuvunja uhusiano ...

Nime-quote maneno yako na jibu la mtihani wako.....umekubali anakupenda..nawe unampenda..mapenzi ni upofu..na hakuna mapenzi nusu labda tu kama nia yako pesa...kuna mtu alisema kila kitu kina gharama yake.... Fanya roho yako inachoridhia kufanya..huna haja ya kutushirikisha sisi..
 
Watu wangu wanaangamia kwa kukosa maarifa.

Sent from my BlackBerry 9700 using JamiiForums
 
... dah!! kwa comments hizi, ngoja "niwale" kwa bidii ili nikifika 50 nisijutie!
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…