MPENZI no 3
Member
- Jun 23, 2013
- 9
- 11
Dah hio tofauti ya umri ni kubwa sanaaaa yaani huyo anakuzaa kabisaa hata sijui nikushauri nini?Fumba macho tu then utazoea taratibu mkishafanya mara kadhaa :smile-big::smile-big:
Dah hio tofauti ya umri ni kubwa sanaaaa yaani huyo anakuzaa kabisaa hata sijui nikushauri nini?Fumba macho tu then utazoea taratibu mkishafanya mara kadhaa :smile-big::smile-big:Vizee vingine vina shida sana...
Ahhh kizee kisotulia na vizee wenzie ahh jamani hata sijui nidigest vipi habari hii..Na huyu kijana pia kaenda mbali sana miaka 30 yarabi toba..si kina mvi mpaka kwenye ma***zi,halafu kisije kufia kifuani tu kwa mshituko wa moyo..lawama wamtupia mzee??
Wana jamvi Mimi ni msichana mzuri ndani na nje,very attractive,but nimetokea kupendwa na kumpenda mbaba mmoja Mtu mzima,baada ya kuchoshwa na kero za vijana,Huyu baba Ana mke na watoto wa nne wakubwa,tatizo linakuja tu pale anaponiomba tufanye sex yani naogopa namuana Kama baba yangu,namzungusha mpaka leo nothing happened na ni miezi sita sasa tangu tuanze mausiano,nifanyeje na Mimi sitaki kuvunja uhusiano since ananisaidia mambo mengi
Yaani leo nimecheka sana aisee maana kila leo lazuka jipya lakuzidi jana hehhaha kati ya siku zote leo umenifurahsha saana! Afanyaje?
Wana jamvi Mimi ni msichana mzuri ndani na nje,very attractive,but nimetokea kupendwa na kumpenda mbaba mmoja Mtu mzima,baada ya kuchoshwa na kero za vijana,Huyu baba Ana mke na watoto wa nne wakubwa,tatizo linakuja tu pale anaponiomba tufanye sex yani naogopa namuana Kama baba yangu,namzungusha mpaka leo nothing happened na ni miezi sita sasa tangu tuanze mausiano,nifanyeje na Mimi sitaki kuvunja uhusiano since ananisaidia mambo mengi
Mmmmmh!
Mzee kumkabili yataka roho ya kutu. Pata picha kijana akiwa mtupu atisha haswaaaaa!
Pata picha p zina makunyanzi, vuzieing full mvi! Bado ngozi nyorodo!
IGA UFE!