30 Experiences you should have before you turn 30

30 Experiences you should have before you turn 30

yote yanawezekana,labda hyo ya height diving sijui inaitwa ndo sijawahi kuisikia hapa bongo....the rest is all available ,upate tu company ya wapenda adventure utaenjoy sana..

Hiyo wanafanya Victoria Falls - Zimbabwe.

Ndo mana narudia, nyingine unaweza kufanya arround Tanzania, sio lazima usafiri kwenda ulaya
 
Yanayoapply kibongobongo kabla ya 30 years ni.

1. Uwe umewinda ndege
2. Uwe umehudhuria tamasha.
3. Uwe umetembea atleast mikoa 3 ya TZ
4. Uwe uwe umecheza michezo atleast mitano ya udogoni (mf mpira, rede, mdako, kibabababa, kombolela nk)
5. Uwe ushafukuzia wasichana zaidi ya watatu ( haijalishi uliwakosa ama laa )/ wasichana kufukuziwa ni constant.
6. Uwe umekutana na watu tofauti ambao utanufaika nao ( achilia mbali uliokua nao na kusoma nao)
7. Uwe ushatest pombe ( kwa baadhi )
8. Uwe ushatest sigara ( kwa baadhi )
..
..
..
..
..
..
 
Hata throwing yourself a birthday party or dinner party with your fellas ni lipo applicable ulaya!!!!

Wabongo we need to adjust even a little bit
 
Ukiweza kuvitafsiri vyote kwa kiswahili tutaelewana otherwise wakati mwingine jaribu ku-contextualize ujumbe wako kwa hadhira unayowaambia sio ku-copy na ku-paste tu, SAWA MKUU!
 
Iingekua poa zaidi endapo ungepost kitu kinachoendana na mazingira yetu mkuu...
 
Back
Top Bottom