Nokia83
JF-Expert Member
- Jan 16, 2014
- 24,643
- 44,371
hii ni not for african use mkuu
Mm jina lako tu huwa linanipa hisia kali sana....alhamdulilah
hii ni not for african use mkuu
Kila kitu ni uamuzi,
Ni aina ya maisha ukiamua kuyaishi
Wabongo tutayaweza wapii
Mm jina lako tu huwa linanipa hisia kali sana....alhamdulilah
Una uhakika mkuu?
kwann mkuu?
I wish ngekuwa na jibu bt hili jina lanivutia sana...there z samtin spcl
duh. i wsh i could what u wanna knw
Scuba diving na tandale wapi na wapi mkuu....ndoto za alinacha
wewe umefanya mangapi..
Unaongelea Taifa gani?
Mimi mzaliwa wa Mwanza Nyatukala nami nahusika kweli??????
Unaongelea Taifa gani?
Mimi mzaliwa wa Mwanza Nyatukala nami nahusika kweli??????
Realy?!...yani nmekaa hapa na-smile tu kama nmepandishwa cheo kazini
hahahaha, mkuu funguka
Na uzuri zaid karibu zote unafanya ukiwa arround tanzania, just adjust your lifestyle.