Baba Matatizo
JF-Expert Member
- May 5, 2011
- 334
- 64
Mimi nimeitumia kwa muda kidogo sasa kama miezi sita...but naona wino wake unaprint pages chache sana kama 130 tu..wakati unauzwa mpka 30,000 kwa black (mmoja)
JAMANI WATAALAM WA VYOMBO VYA KITEKNOLOJIA NAOMBA KUULIZA ETI HP PRINTER YENYE UWEZO WA KUPRINT,KUPIGA PHOTOCOPY,NA KUSCANI NI IMARA KWA MATUMIZI YA KILA SIKU?KWA KUWA HAPA NI KWA WATAALAM WA TECHNOLOGIA NA IMANI NITASAIDIWA.
Nawasilisha
MI ningekushauri hivyo vitu ungenunua kimoja kimoja maana ni kama vile utakavyonunua simu ya laini mbili ya mchina ikifa kitu kimoja ina maana mawasiliano ndio basi tena,kama unafanya kazi nyingi z kuprint karatasi tafuta printer kubwakidoogo ambayo unaweza ukaprint vitu kwa muda mrefu na wino wake ingawa ni gharama lakini unakaa muda mrefu.Hizo printer za 3 in 1 sidhsni km ziko imara kwa kufanyakazi nyingi za kiofisi.
mi ninayo ila naitumia kwa matumizi ni nzuri sana haina matatizo ila kama unataka kuweka stationary usiitumie maana sidhani kama itadumu sana.its also cheap it costed me 280000 tshs.
Asante ndugu ngoja tuwasubiri wataalamu,watueleze wino wa kujaza ukoje.Ndo hvyo kaka kila page kama 130 inakubidi ununue wino black (30,000) coloured ipo juu ya hapo.Wino ukiisha huwezi kuprint wala ku-copy..Labda scanning pekee....Ila nasikia zipo wino za kujaza ila sijui zinakuaje...labda wadau watushauri...
Asante ndugu ngoja tuwasubiri wataalamu,watueleze wino wa kujaza ukoje.