2nd Round ya TCU wabunge wetu mnalisemeaje hili? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

2nd Round ya TCU wabunge wetu mnalisemeaje hili?

Discussion in 'Jukwaa la Elimu (Education Forum)' started by kabila01, Aug 14, 2012.

 1. kabila01

  kabila01 JF-Expert Member

  #1
  Aug 14, 2012
  Joined: Apr 21, 2009
  Messages: 2,705
  Likes Received: 1,181
  Trophy Points: 280
  Nahuzunika sana na hii statement "First come first served" hii ni kauli ya kibaguzi kabisa. kwa wale ndugu zetu wa liopo vijijin kwa sasa hawana chao hapo hata kama wana sifa za kuingia chuo kikuuu. Hivi ni watanzania wangapi wenye access ya internet ikiwa umeme tu ni tatizo. Kwa sasa ni muda muafaka maana ndo kwanza inajadiliwa wizara ya elimu na suala hili limetokea. Nawaombeni Wabunge muwasaidie wapiga kura wenu hasa wale wa vijijini. kwa kweli msipolisema suala hili hatutaelewana bila kujali ww ni mbunge wa chama gani mie sitawaelewa kabisa
   
 2. EARPHONE

  EARPHONE JF-Expert Member

  #2
  Aug 14, 2012
  Joined: Jul 15, 2012
  Messages: 357
  Likes Received: 7
  Trophy Points: 35
  Maana yake nn?m cjaelewa hiki kipengele
   
 3. kabila01

  kabila01 JF-Expert Member

  #3
  Aug 14, 2012
  Joined: Apr 21, 2009
  Messages: 2,705
  Likes Received: 1,181
  Trophy Points: 280
  [FONT=&quot]Applicants will apply through the Central Admissions System and applications will be treated on the first-come first-served basis this means the applicant is required to choose only one program he/she qualifies basing on program requirements given in the ‘Students Guidebook' available on TCU website. Each programme is tied to an institution and that means the process involves one programme at a particular institution only.[/FONT]
   
 4. kabila01

  kabila01 JF-Expert Member

  #4
  Aug 14, 2012
  Joined: Apr 21, 2009
  Messages: 2,705
  Likes Received: 1,181
  Trophy Points: 280
  kwa maana nyingine atakayekua wakwanza kuja ndio atakayepata nafasi
   
 5. EARPHONE

  EARPHONE JF-Expert Member

  #5
  Aug 14, 2012
  Joined: Jul 15, 2012
  Messages: 357
  Likes Received: 7
  Trophy Points: 35
  Hapa nimekuelewa
   
 6. kabila01

  kabila01 JF-Expert Member

  #6
  Aug 14, 2012
  Joined: Apr 21, 2009
  Messages: 2,705
  Likes Received: 1,181
  Trophy Points: 280
  sasa jiulize kwa wale wenye sifa na hawana access ya kupata hizi information ndo imekula kwao
   
Loading...