2nd batch

2nd batch

moudy_b6

Member
Joined
Aug 3, 2015
Posts
81
Reaction score
4
Wakuu anaefaham hii kitu anifahamishe naona tcu wanansokota tu..wamenambia nimeshachaguliwa moja ya vyuo nilivyoomba..lkn naona kila chuo kikitoa majina cmo...ni vp hii? Au ndo wengine hatuna zarii
 
Mkuu kua na subira.
 
Hahahaha,,,, booo boo boooohh tulia mkuu mambo bado yako jikon mpaka j3 kitafahamika tu chuo kipo kwajir yako mkuu,,,, Moudy b6
 
Last edited by a moderator:

Vyuo vyote ulivyoomba vishatoa majna
 
Bdo mzumbe mkuu lkn pale sipat coz sikueka first priority ao walioeka first wako km 200 na kitu iv...na wanatakiwa watu 100 tu..
 
Hahahaha,,,, booo boo boooohh tulia mkuu mambo bado yako jikon mpaka j3 kitafahamika tu chuo kipo kwajir yako mkuu,,,, Moudy b6

Nimetuliaaa....ila nimeshindwa mpka leo nimeamua kuyatema kwenye ili jamvi
 
Last edited by a moderator:
hahaha bro kumbe nawe km mimi vimetoa majina 4 na vyote simo kamoyo kanadunda ile mbaya
 
kuna yale majina ya udsm yaliyoleak wapo waliokuwa wameandiwa do not admit, sijui yalikuwa yanatoka tcu kwenda udsm, kama ni hivyo huenda wale watu walipata selection zao nyingine tofaut na za udsm ila kama yalikuwa yanatoka udsm kwenda tcu ninadoubt mtu akazinguliwa ingawa alishaambiwa amepata provisional selection.
 
Ni shida ila ngoja tusubiri.
 
wadau yaktoka 2batch st.joseph c.engineering njulishe kuna jamaa nataka nmchekie...
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom