2jokes enjoy

2jokes enjoy

BOLT

Member
Joined
Jan 25, 2011
Posts
38
Reaction score
1
Kuna walevi wa 3 wamelewa wakakodisha taxi mwenye taxi alipowaona
wamelewa sana akawasha gari halafu akazima akawajibu tayari tumefika
wa kwanza akatoa hela

wa pili ...akasema thank u
wa tatu: akampiga kibao akamwambia: Eboo siku nyingine usiwe unaendesha gari kwa kasi hivi utakuja
kutuuwa.




KiJANA WA KIHINDI BAADA YA TUITION YA KISWAHILI,ANAJIBU IFUATAVYO:
1)Mfa maji?...tampa life jacket.
2)Mwenda pole?...tachelewa fika.
3)Usipoziba ufa?...mizi taona mpaka dani.
4)Usilolijua?...uliza
google.com.
5)Mbio za utelezini?...chafua guo yako.
6)Ukipenda boga?...ngoja mezi ya ramzani tapata.
7)Ukiona vinaelea?...iko nyepesi hiyo.
8)Maji yakimwagika?...mambie dada ta-deki.
9)Chelewa chelewa?...takosa guo ya sikukuu.....baiya
 
hahahahaha!!! we bana iko neno mingi bana, ''akunyimaye kunde, tanyima yeye dengu...tehe tehe!!!
 
hahahahahahaha huyu ana speed kali sana,safi sana dereva
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom