2e met online and now we're happily married!

People meet in all sorts of places and the information superhighway is just one of them.

In its early years I used to be leery of relationships which were formed online but as years went on my opinions evolved.

Now I don't see such relationships as weird anymore. After all, what really is the difference between meeting someone online and meeting someone at the bar, on the street, supermarket, gas station, or school? Zilch!

So if that couple met online, got smitten with each other and now they're happily married, then I say more power to them.
 
Afadhali hao. Mke wangu alinipigia simu, bahati mbaya kwani alikosea namba ya mwisho. Enzi hizo ukipiga simu unaweka kidole kwenye button ya kukata. Sikuelewa ujumbe alionipa na sikuelewa ni nani. Ikabidi nijikakamue niingie hewani, ndo baadae nikajua ni wrong number. Tuna watoto wawili. Tunaishi kama kawaida...utafikiri tulizaliwa pomoko
 
Reactions: BAK
Dah sjui hii link itatokea maana natumia simu..But it is an interesting read.
We met online, and now we are happily married - Sound Living - thecitizen.co.tz - We met online, and now we are happily married - Sound Living - thecitizen.co.tz

Kwa ulimwengu wa sasa mambo mengi yamerahisishwa kwa kutumia mitandao ya kijamii.Mtu hujaonana nae lakini umeiona picha yake,walau unakua umepata pa kuanzia.Mitandaoni siku hizi tunafanya mambo mengi tena makubwa ya kibiashawa na mawasiliano na tunafanikiwa.Nchi zingine watu wanapiga gazi mda mwingi na hawapati mda wa kuonana na kuwasiliana na watu,mitandao inasaidia sana kufanikisha suala hili.Fiber imeunganishwa hapa TZ,sasa tutafaidi zaidi,japokua madhara nayo yako.Tuelimishane umuhimu wa mitandao na kila MTZ aweze kutumia na kunufaika.

[UTAPELI UPO HATA MKIWA MMEJUANA TOKEA MDA MREFU,.mf.Utapeli wa kupiga mizinga,uongo na kukimbia na pia ule wa kugegeda na kukimbia bila kutimiza ahadi.].Chamsingi ss watu kuwa waaminifu na kuomba mungu atujaalie mafanikio ktk malengo yetu yatakayojenga haki kwa kila mmoja.
 
Mitandao imerahisisha mambo mengi. lisaa limoja lililopita nimefanikiwa kupata connection ya hela ya biashara niliyokuwa naitaka nimebakiza kusaini tu.
 
Halafu kuna watu wanashangaa wanapoona wake kwa waume wakitafuta wachumba hapa. Wapo humu ndani walioana lakini bahati mbaya sana hawataki kuitangazia JF kwamba walikutana hapa wakaanza urafiki wa kimapenzi na hatimaye kufunga pingu za maisha. Kuna hili tangazo hapa jamvini la GMO Food linaniboa sana. Hivi vyakula si vyakula bora kwa binadamu na ndio maana vinapigwa vita sana katika nchi nyingi za Ulaya.
 
Ulivutiwa na sauti yake kwanza au alivutiwa na ya kwako? Mpaka mkaamua kujenga mahusiano, "Your voice is very romantic."

 
U could also be few clicks away from meeting up with a psycho
 
Bujibuji anashangaa inakuwaje uje utafute mpnz/mchumba huku
 
cha ajabu mtu akipost anatafuta mchumba watu wana mkejeli mpaka anaonekana kuwa anatania kumbe m2 yupo serious
 
eh? Uhusiano wa hii part na thread ni upi?
 

Mkuu, your story is equally interesting. Hujawahi kufkiria kuishare kwa lifestyle magazines?
 
Wala hakuna la ajabu hapa kila kitu kinawezekana, mkutane kanisani, disko, bar, kituoni, kwenye ndege, bus, chooni kama ipo ipo tu.
 
cha ajabu mtu akipost anatafuta mchumba watu wana mkejeli mpaka anaonekana kuwa anatania kumbe m2 yupo serious

Hawa wachumba wa MMU huwa HAWAWEKI information za kadi zao za bank PM na kosa lao huwa ni hilo;hapa kama hujaachia tembo card ya CRDB kwa target yako unaonekana kama unatania tu!
 
Me mwenyewe natamani nimpate online TOTALLYYYY STRANGER!! Teh
Asiniulize past wala participle..
Tuanze present and future.
Me naamini mke/mume unampata popote.
Tena kwa wale diaspora wenye busy schedule life, online dating ndo yenyewe. Inarahisisha.
Ila ne warned, usikutane na rapists! Matapeli!
Kwa kibongobongo uwiii ujipange na uwe makini...watoto wengi waliojua computer through facebook..
Ila bana Mungu akikuandika kaandika.kama mkuu ambae mkewe aliekosea namba.! Imagine!
Unaeza hata like comment ya mtu mapenzi yakaanza. Lolest!!!!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…