!!!!!!!!!!!!????????????

!!!!!!!!!!!!????????????

Change_it

JF-Expert Member
Joined
Sep 17, 2010
Posts
279
Reaction score
85
531295_10151060370573571_2090806751_n.jpg
inasikitisha sana
 
duh.........na huo usingizi ni wa njaa!!!
hv sio kilwa kweli hapo
 
Raisi wangu yupo,anachonga deal za lak mbili unusu kwa siku huko nje
 
Na mafisadi sasa wanatumia mahakama kulindana na wizi wa mabilioni ambayo yangetumika kuwasaidia hawa watoto!! Mkweree, Mkapa , Mramba , Yona, Mgonja na nyie wezi wengine angalieni mnavyowaua wananchi na watotot wao!! Adhabu yenu mtaipata hapa hapa duniani.
 
hiyo picha imepigwa wapi?
Huyo mtt kalala kwa njaa, shibe, ugonjwa, kifo au?
Tusikimbilie ku coment kitu tusicho kijua, hiyo picha co mara ya kwanza kuwekwa hapa.
 
Maisha bora kwa kila mtanzania ikiwemo watoto. Kwa kasi zaidi, kwa ari zaidi na kwa nguvu zaidi. Hilo ndilo Taifa la kesho!!! Taifa la kesho ni watoto wa vibosile wanaoandaliwa na wazazi wao walio madarakani ili wandelee kuwanyonya wa aina ya hao waliolala kama huu malaika hapa.
 
Tunajifunza nini kama taifa? Tunajifunza nini kama binadamu? Kila mmoja katika nafasi yake anajifunza nini kwa hii picha? Inaweza ikawa ni Tanzania au sehemu yoyote Africa... Je unaweza kufanya lolote kwa jamii inayokuzunguka inayoishi katika mazingira magumu...?
 
Haya ndiyo maisha bora kwa kula mtanzania tuliyoahidiwa.
 
inaonekana ana siha njema tu tatizo matunzo,ustawi wa jamii lishughulikieni na hili sio kila siku mambo ya women empowerment
 
Back
Top Bottom