E Endaku's JF-Expert Member Joined May 25, 2007 Posts 321 Reaction score 47 Nov 7, 2011 #1 Wakuu nimeona namba hii kweli line yangu ya Voda nimeogopa kupokea +2909050 Je hii namba na nini ? Naomba kujuzwa !
Wakuu nimeona namba hii kweli line yangu ya Voda nimeogopa kupokea +2909050 Je hii namba na nini ? Naomba kujuzwa !
MwafrikaHalisi JF-Expert Member Joined Oct 12, 2011 Posts 1,741 Reaction score 512 Nov 7, 2011 #2 Umeogopa nini sasa wakati ulikua na nafasi ya kupokea, kuuliza na kujuzwa? Kama vipi wapigie customer care
Umeogopa nini sasa wakati ulikua na nafasi ya kupokea, kuuliza na kujuzwa? Kama vipi wapigie customer care