Umeona mkuu! Halafu nashangaa kuna minjemba humu inashabikia eti hatua nzuri. Hatua nzuri na wakati mgao unaendelea na Watanzania tunahangaika Kama watoto yatima! Tanesco yote inatakiwa kuvunjwa..imeshaliwa na mchwa haiwezi kukarabatiwa Ivunjwe tu.
Kwa jinsi nchi hii ilivyo, bora wastaafishwe kwa manufaa ya umma kuliko kupelekwa mahakamani. Mpaka rais mstaafu ataenda kuwatetea.Hapo kuna kesi sasa?