Wewe! Hivi haujui mambo ya kufatilia nyota (astrology) ni dhambi?
Kama ni wewe mwenyewe umezaliwa tarehe iyo, tabia zako unazijua mwenyewe, then kama ni mtu mwengine unamuulizia ili ujue undani wake kupitia hiyo tarehe, unakosea sana, kwa sababu kila binadamu mmoja anatofautiana na mwengine regardless hizo date za kuzaliwa, kwa mfano tafuta watoto mapacha waliozaliwa tarehe/siku moja then determine their habits. May be hauna dini, ikiwa hivyo nakutahadharisha usigeneralize hizo sifa utakazopewa.