29 Dead in Mexican Fireworks Market Explosion

Kurzweil

JF-Expert Member
May 25, 2011
6,551
2,000
MEXICO: Takribani watu 29 wamefariki, wengine zaidi ya 70 kujeruhiwa baada ya kutokea mlipuko katika soko moja la kuuzia vilipuzi lililopo katika Jiji la Mexico.

Aidha mlipuko kama huu ukiwahi kutokea katika soko hilo mwaka 2005 siku kadhaa kabla ya sherehe za Uhuru wa taifa hilo.

Na mlipuko mwingine ulitokea mwaka 2006 katika soko la Pablito.

=========


Twenty-nine people were killed and more than 70 people injured after an explosion at a fireworks market in Mexico today, according to the governor of the state of Mexico.

The explosion in Tultepec was confirmed in an earlier tweet by Luis Felipe Puente, the National Coordinator for Civil Protection.

Dramatic video posted to Facebook shows clouds of thick smoke billowing from the market as several fireworks appear to go off at once.

Further details on the explosion were not immediately available.

In 2005, a fire engulfed the same market, sparking a chain of explosions that leveled hundreds of stalls just ahead of Mexico's Independence Day, The Associated Press reported.

A similar fire at the San Pablito Market also destroyed hundreds of stands in 2006, according to The AP.

Source: ABC News
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom