Zero Hours JF-Expert Member Joined Apr 1, 2011 Posts 12,942 Reaction score 18,693 Dec 28, 2016 #1 Leo mugabe kawajibu wababe wake. Kaongelea pia CCM Attachments VID-20161228-WA0003.mp4 VID-20161228-WA0003.mp4 2.9 MB · Views: 27
babu M JF-Expert Member Joined Mar 4, 2010 Posts 5,222 Reaction score 3,176 Dec 28, 2016 #2 Mbona hai-play?
A allydou JF-Expert Member Joined Apr 16, 2009 Posts 1,603 Reaction score 1,065 Dec 28, 2016 #3 Unaleta Habari za mwaka jana sijui mwaka juzi
kwemanga1 JF-Expert Member Joined Jan 9, 2014 Posts 839 Reaction score 599 Dec 28, 2016 #4 Ya zamani sana hiyo
M MENGELENI KWETU JF-Expert Member Joined May 8, 2013 Posts 9,557 Reaction score 24,182 Dec 28, 2016 #5 Mbona ya zamani hii.. Khaaaa
Isanga family JF-Expert Member Joined Feb 25, 2015 Posts 22,669 Reaction score 47,015 Dec 28, 2016 #6 Afya ya Mugabe haipo sawa kwa sasa mara ya mwisho kikao cha UN alitoka mapema tuu huku akitaka kuanguka...
Afya ya Mugabe haipo sawa kwa sasa mara ya mwisho kikao cha UN alitoka mapema tuu huku akitaka kuanguka...
Kingsharon92 JF-Expert Member Joined Aug 10, 2015 Posts 8,512 Reaction score 12,175 Dec 28, 2016 #7 Wewe umekuja lini duniani? Mbona ya muda kidogo hii
Zero Hours JF-Expert Member Joined Apr 1, 2011 Posts 12,942 Reaction score 18,693 Dec 28, 2016 Thread starter #8 Tunakumbushia tu
Mlaleo JF-Expert Member Joined Oct 11, 2011 Posts 16,379 Reaction score 13,193 Dec 28, 2016 #9 Mbona video haiishi? Hili zee jeuri yaani linajilinganisha na Super power? hivi akiambiwa achangie bajeti ya UN kwa usd Trillion Moja ataweza? nchi kibao zilikubali kutokuwa Super Power uchumi mgumu
Mbona video haiishi? Hili zee jeuri yaani linajilinganisha na Super power? hivi akiambiwa achangie bajeti ya UN kwa usd Trillion Moja ataweza? nchi kibao zilikubali kutokuwa Super Power uchumi mgumu