+255901006666 cjaielewa baado.!

nyamatoke

Member
Joined
Nov 4, 2013
Posts
31
Reaction score
3
ndugu zangu hiyo namba imenitafuta leo ni siku ya nne ananipigia ila nashindwa kupokea kutokana na namba yenyewe,nisaidie ni namba ya wapi wadau.
 
yaani wengine watafuta kazi wakiona namba mpya ndo wanawahi kupokea labda usaili..wewe unazikwepa ndugu yangu!!!!
 
Hiyo namba niya tigo ungana na marafiki
 
automatic calling namba za adverts za mitandao eg: caller tunes services i.e airtel
 
Kuna namba voda zinaitwa pseudo zinakuwa na matatizo ipokee tu hamna tatizo lolote as long as in +255! Mwambie apige voda watairekebisha
 
ndugu zangu hiyo namba imenitafuta leo ni siku ya nne ananipigia ila nashindwa kupokea kutokana na namba yenyewe,nisaidie ni namba ya wapi wadau.

Kumbe ndio maana HR hapa ofisini anasema leo ni siku ya nne kuna mtu anapigiwa simu ili aanze kazi ila hapokei, kumbe ndio wewe?
 
Kama unaogopa nenda kapokele kanisani au msikitini ili kama ni mapepo iwe rahisi kuyashughulikia.
 
Mkuu pole sana kwa uoga ulio nao bt next time pokea simu kataa maneno utakuja kosa vitu vya msingi.
 
namba ya israel hiy0! ukip0kea imekula kwak0.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…