255 Champion Boy Mbwana Samatta

mfilisti

JF-Expert Member
Sep 24, 2015
3,641
19,275
C0WJXw9WIAIB4Pu.jpg
C6i6FwTU0AEDwlm.jpg
CmmY-ZTWIAAAt1Q.jpg
CoWm5IVWgAAZcaP.jpg
CqswnjXWcAAiUHZ.jpg
Ct2GVrlXYAAGVOq.jpg
Ctqw22ZWAAA-JqE.jpg
CvIaAKTXYAAy6Gj.jpg
 
Huyu jamaa ataendelea kusonga tu maana mazingira alio kulia ni magumu ukijulisha na uwanja alio kua anachezea huku Tz uwanja wenyewe haupo level ukipiga mpila unaenda kushoto badala ya kulia sasa huko atashindwa nini?
 
Kila la kheri Samatha!! Huwa naangaliaga gemu zako karibu zote. Umemprove kinoma after two years kaka utakuwa mbali sana. Big up
 
Kaka kupitia king'amuzi kipi nami nahitaji
Huyu jamaa ataendelea kusonga tu maana mazingira alio kulia ni magumu ukijulisha na uwanja alio kua anachezea huku Tz uwanja wenyewe haupo level ukipiga mpila unaenda kushoto badala ya kulia sasa huko atashindwa nini?
kumuangalia mr mbwana samata
 
Vipi wakenya hawajasema jamaa ni wa kwao?

Big up to samatta, oya mkuu, wakenya kwenye international soccer tushazoea.. mkenya wa kwanza kuchezea genk ni Ayub Timbe, tuna mchezaji Southampton, Osano alichezea Reading, Parma tushachezesha mtu, Divock Origi wa Liverpool the son of former Harambee Stars champ Mike Okoth, Martin Waikwa wa Norwich... na wengine wengi tu mkuu. Furahia yenyu bila kututaja.
 
Back
Top Bottom