xng hua
JF-Expert Member
- Sep 24, 2016
- 3,302
- 5,378
Kikosi tajwa hapo jüu.... apart from kua karibu kabsa na makazi ya watu pia wamekua wakiendesha shughuli za mgodi wa dhahabu katika kambi hiyo
Ikiwemo kuchimba na kufanya blasting katika eneo hilo la jeshi karibu kabsa na makazi ya watu
Hali hiyo umekua ikizua hofu na mstuko kwa wakazii wa jirani na kambi hiyo
-Nyumba zimepasuka kutokana na blasting inayo fanywa kambini hapo
-hatuna raha kwan wanatutangazia tutoke ndani na kukaa nje kwa usalama wetu wakat wa kulipua
-hiki ni kikosi cha mizinga kwa maana hio wananchi tuna wasiwasi na kulipukiwa na silaha
-usalama wa taifa uko wapi hadi wanaruhusu kampuni ya kigeni CATA mine kuoparate katika kambi ya jeshi?
je nani yupo nyuma ya huu mgodi?
ili kufanya blasting lazima upate kibali maalum cha kulipua that means mamlaka zinajua lkn wameamua kutuacha tuishi kwa hofu?
mwisho
Kama mnataka kuendelea na uzalshaji pia kama hamtaki kumuondoa mwekezaji basi wataalam waje wapime ni umbali gani unatakiwa kwa usalama wa raia ili kama ni kupisha kwa fidia tupishe au msimamishe uzalshaji tuishi kwa amani
Picha nnazo lkn siwez kuuzweka humu sabab znaonyesha eneo la jeshi
karbuni kwa ushauri wenu kwa wananchi wa kiabakari