Vip mwez huu wamelipa tareh ngap
Kwani walimu wameongezewa mshahara?Masikini walimu jaman,kamshahara kao kadogo hadi dhambi,waongezen na wapunguziwe PAYE
Kwani walimu wameongezewa mshahara?Masikini walimu jaman,kamshahara kao kadogo hadi dhambi,waongezen na wapunguziwe PAYE
Typical slave attitude..
Kwanini usijilipe mshahara mwenyewe kila siku?!
Nikikwambia ninachojilipa utanipa bonus mkuu.., au lengo unataka kucompare..? hahahahahah...Wewe unajilipa ngapi kwa siku mkuu? Hata mimi natamani kuachana na haya mambo ya kusubiria kila mwezi, kodi tu unakatwa karibia 830,000/=
Nilitaka kuingia kwenye kulima miwa Morogoro nasikia wamechoma mashamba ya watu, bado nafuatilia hizo habari nijue nini cha kufanya mkuu.
Unaropoka au una uhakika? Mdg wangu mwl na me mhasibu wote tuko serikalin mbona hatutofautiana sana? Sema wao hawana marupurupu! Fanya uchunguz kabla ya kuropoka
Mimi tayari toka Jana ucku