Serengeti na Maldives .......lazima nkaone kwa macho na mwisho hiyo ya las vegas......sijui nani anisindikize cc miss strong TATIANA Cougar Eshy m.s Evelyn Salt Honey Faith ....
ubungo plaza umesahau
Monaco ndio best....na syscheles kwa hapa karibu
Very nice pools.. hizo za rooftop ndio hua zinaniacha hoi. mfano hiyo namba 1 Marina Bay Sands iko juu kabisa ya jengo lenye ghorofa 57!! kama linavyoonekana hapa.. na minazi wameotesha huko huko.. dah..! hawa jamaa bana..
![]()
Does the offer still standing?!
yes....
Am all in! Panga ratiba tu .
Angejenga yake pia