Hajto
JF-Expert Member
- Sep 30, 2013
- 5,620
- 5,536
Na za nyumbani zina umuhimu wake piaMimi sina habari na izo loko chaneli Chanel zangu tatu 3 tu, Discovery science, Net Go, Super sports, Move Chanel.
Sent using Jamii Forums mobile app
Na za nyumbani zina umuhimu wake piaMimi sina habari na izo loko chaneli Chanel zangu tatu 3 tu, Discovery science, Net Go, Super sports, Move Chanel.
Sent using Jamii Forums mobile app
Imaan haipo wameitoaHahaha sawa mkuu... local channels ni tbc1, itv, etv, etv, eatv, clouds, startimes, imaan, mlimani, chanel10, tv tumain n.k
Sent using Jamii Forums mobile app
Bure wakati umelipia She. 25,000Mimi nilifuata utaratibu wao wa kubadilisha kadi kwa hiyo 25,000 hadi sasa nakula local chanel bure kabisa
Sent using Jamii Forums mobile app
Hii move channel ni mpya amaMimi sina habari na izo loko chaneli Chanel zangu tatu 3 tu, Discovery science, Net Go, Super sports, Move Chanel.
Sent using Jamii Forums mobile app
mbona kama wanatuiobia sasaJana niliskia kuwa tcra wameamuru local channels zionyeshwe bure kwenye ving'amuzi vya startimes, ting na continental yani leo tar 21 (kuanzia)..
Cha ajabu leo nilipowasha decoder yangu ya startimes nikakuta tbc1 tu pekee.. nikajiuliza maswali mingi sana... mwishowe nikaamua kinyanyua mkonga wa simu kuwauliza kulikoni ili nitake kujua zaid..
Wakaniambia kuwa ili niendele kupata local channels natakiwa nikabadilishe card kwa gharama ya 25,000tsh kama nitaona usumbufu basi niendelee kulipia 7,000tsh..
Swali?
King'amuzi changu nilikinunua mwaka 2012 wakati huo nilikuwa naaangalia bure local channels zote mpaka hapo walipoanzisha manjilinji yao ya payments.. hivi hiyo technology yao inashindwa kukomands local channels kama mwanzo kuendelea kuwepo ama ni kama wanaendelea kubishana na serikali tu.. 25000 kuajili ya card tu peke yake usawa huu kweli ? Ni system gani wanayotumia hawa watu?..
Ina mana system yao haiwezi kurevert inajua kusetting tu kwa kwenda mbele.. decoder niliinunua 60000tsh enzi hizo plus 25000tsh now inafika 85,000tsh..
Sent using Jamii Forums mobile app
kabisa mkuuSiku mkijua ngozi nyeupe inataka nini hamtahangaika na haya.. they fooling us we lift them up.
Bure inatoka wapi,wakati wamekulipisha 25k?Mimi nilifuata utaratibu wao wa kubadilisha kadi kwa hiyo 25,000 hadi sasa nakula local chanel bure kabisa
Sent using Jamii Forums mobile app
Mkuu mimi na tumia kingamuzi chadishi napata star tv na chanel ten na tbc ccm sasa hizo zingine sijui nikwanini wamezitoa
Sent using Jamii Forums mobile app
Acha bangi weweHizo local channels mnaeza mkazi search tu kwenye Tv yako ukawa unazi check kama enzi zile! You just need an antenna! Bure kabisa..
Sent using Jamii Forums mobile app
ufafanuzi tafadhaliSiku mkijua ngozi nyeupe inataka nini hamtahangaika na haya.. they fooling us we lift them up.
ananena ukweli..
Utaendeleakupata channel husika. Viva FTAhivi na mimi nauliza kwenye madishi makubwa vipi.. yani yale ya c band.. ya panel 6 ama 8 hivi .. mtu akifunga hili akaachana na kero za hawa wafanya biashara..