25,000tsh kupata local channels startimes!??

25,000tsh kupata local channels startimes!??

Ina maana hiyo ef25 ni ku renew tuu bado ya kununua bando

Sent using Jamii Forums mobile app
Hapana ipo hivi kinachobadilishwa pale ni card tu.. decoda yako inakua ileile.. ile card ukiwekewa ndiyo unapata hizo local channels moja kwa moja na hutalipia tena.. hakuna malipo ya kila.mwezi kwa local channels..
25 ni ya kununua hiyo card nahisi pmj na usajili.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
nilishatoa malalamiko haya humu awali kuhusu kudai 25, watu wakaniona mwongo haya sasa, wanataka 25,

yani wametuibia wee afu bado wanataka kutuibia. kweli sisi wajinga
 
nilishatoa malalamiko haya humu awali kuhusu kudai 25, watu wakaniona mwongo haya sasa, wanataka 25,

yani wametuibia wee afu bado wanataka kutuibia. kweli sisi wajinga
Bado mkuu hata mimi nashangaa mana cha kwangu ni kile cha silva na ni AVI out put yake.. sasa kuna hawa wengine decoda zao walinunua elfu 22 na wanapata local channels bure..

Wengine ndiyo wale wa mwanzo kabisa walioanza na kampuni decoda zao zinaonesha free local channels.

Mimi mwanzoni nilkuwa napata free mara nikaletewa ujumbe wa kuanzia kulipia so nashangaa iweje miaka 3 niangalie bure leo waniambie elfu25..

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mda wa kukusanya mapato ndio huu. Ukistaajabu ya Musa ..................
 
local channels za kazi gani wajomba ? nothing to learn there , labda kama unacheza biko au tatu mzuka
 
Mkuu unachokitaka huko local channels ni kipi ambacho hutokipata hapa JF..!!??
 
Hakuna lilnalo tokea kwa bahati mbaya, yote yamepangwa. TBC mtaiangalia mtake msitake. CCM hoyeee
 
Wameniambia nilipie 49000 kupata free channels sasa sijui ndo kutunishiana misuli huku au vipi
 
Mimi nitaangalia Azam TV tu local channels kwa sasa zote ni kama Tbc tu,
Humo nitapata habari za Zbc,Zbc2, Sports channels local na La Liga, Movies, Kbc, ktn, Ubc, Citizen, Indian movies, Geographic Channels, Sinema zetu,BUNGE LIVE/ Zanzibar, Kenya na Uganda international News channels nk..

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ivi hawa waheshimiwa wanaohusika na kuwasimamia hawa wenye ving'amuzi majumbani kwao ama ofisini kwao watakuwa wanatumia ving'umuzi gani
 
Back
Top Bottom