25,000tsh kupata local channels startimes!??

25,000tsh kupata local channels startimes!??

Jana niliskia kuwa tcra wameamuru local channels zionyeshwe bure kwenye ving'amuzi vya startimes, ting na continental yani leo tar 21 (kuanzia)..

Cha ajabu leo nilipowasha decoder yangu ya startimes nikakuta tbc1 tu pekee.. nikajiuliza maswali mingi sana... mwishowe nikaamua kinyanyua mkonga wa simu kuwauliza kulikoni ili nitake kujua zaid..

Wakaniambia kuwa ili niendele kupata local channels natakiwa nikabadilishe card kwa gharama ya 25,000tsh kama nitaona usumbufu basi niendelee kulipia 7,000tsh..

Swali?

King'amuzi changu nilikinunua mwaka 2012 wakati huo nilikuwa naaangalia bure local channels zote mpaka hapo walipoanzisha manjilinji yao ya payments.. hivi hiyo technology yao inashindwa kukomands local channels kama mwanzo kuendelea kuwepo ama ni kama wanaendelea kubishana na serikali tu.. 25000 kuajili ya card tu peke yake usawa huu kweli ? Ni system gani wanayotumia hawa watu?..

Ina mana system yao haiwezi kurevert inajua kusetting tu kwa kwenda mbele.. decoder niliinunua 60000tsh enzi hizo plus 25000tsh now inafika 85,000tsh..

Sent using Jamii Forums mobile app
Mkuu unataka vya bule kama wale wabunge wakimbizi.

Mkuu naomba unielekeze namna ya kujiunga na kifushi cha chini kabisa

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mkuu naomba unielekeze namna ya kujiunga na kifushi cha chini kabisa

Sent using Jamii Forums mobile app
Cha chini kabisa ni lazima uwapigie customer care 0764-700800 then unawatajia account yko.. yani smart card namba yko.. then unamwambia akuhamishe ktk package ya chini ambayo ni 6,000 kama itakuwa imepanda basi ni 7,000...
Basi kuanzia hapo utakuwa unaweka hicho kiasi kila kifurushi kinapoisha.. kumbuka hicho kifurushi ni cha local channels tu zile channels zingine hupati.. ama utapata kidogo mnoo.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mimi nitaangalia Azam TV tu local channels kwa sasa zote ni kama Tbc tu,
Humo nitapata habari za Zbc,Zbc2, Sports channels local na La Liga, Movies, Kbc, ktn, Ubc, Citizen, Indian movies, Geographic Channels, Sinema zetu,BUNGE LIVE/ Zanzibar, Kenya na Uganda international News channels nk..

Sent using Jamii Forums mobile app
King'amuzi kipi hichi mkuu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
LOCAL CHANNELS SASA ZAANZA KUONEKANA KWENYE KISIMBUZI CHA STARTIMES... NIMEJARIBU KUKIWASHA KISIMBUZI CHANGU ASUBUHI HII.. ITS TRUE...

Walitaka kutujaribu... wale wa viherehere wa mwanzo imekula kwao waliopeleka kubadilishiwa kadi kwa 25,ooo ili wapate hizo local channnels..

Serikali hii no ubabaishaji,, kwa hili la sasa heko kwa TCRA.
1535697665943.jpg
1535697740046.jpg
1535697769298.jpg

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom