paka yupo,ana rangi orange na nyeupe hivi,jirani yangu paka wake amezaa,so huwa kanapenya getini kwangu kupiga misele,ngoja nikalie timing nitakupigia uje kukachukua π) π sina mbavu LOL
ntaongea na neighbour wangu ,if he agrees ntakwambia uje kukachukua.