City boy ziliua watu zaidi ya 28 lakini hapakua na kampeni, ajali ya train dodoma iliua zaidi ya watu 100 hapakua na kampeni, kivuko cha kilosa , mv spice islander, mv bukoba, kote hakuna kampeni......
Tetemeko limeua 16 kampeni kila kona, vikumbo kibao, nyimbo zimetungwa, fund raising kibao mpaka hazina wanafanya fund raising......mnajua kwa nini...?????