23 Years old and searching

alter ego

Member
Joined
Oct 8, 2015
Posts
5
Reaction score
0
mimi ni mvulana wa miaka 23, sasa niko chuo namalizia mwaka wa tatu, na natafuta msichana ambaye tutaku pamoja as friends na if God wishes tuwe loers.
my qualities:
urefu: 150 cm
rangi: maji ya kunde
elimu: student - bachelor
I'm God fearing, i love people, i love chatting

naomba anyone ambaye yuko interested ani-pm and she needs to have the same qualities kama zangu hizo nilizozitaja!
 
150cm tall means u are short, sijui kama una ubonge kidogo. Mi nimekupita kidogo lkn hujiona mfupi i can't imagine how u look like.
BTW all the best
 
Duhhhh kwan class kwenu hakuna wadada?! Chuo kizima hakuna?!!
Hebu man up bana usemezane nao huko chuo....
Height nayo shidaaa duh maana had me nmekupita!!
 
150cm tall means u are short, sijui kama una ubonge kidogo. Mi nimekupita kidogo lkn hujiona mfupi i can't imagine how u look like.
BTW all the best
sorry, ni 160 cm, nilikosea...my keyboard is kinda crappy
 
Duhhhh kwan class kwenu hakuna wadada?! Chuo kizima hakuna?!!
Hebu man up bana usemezane nao huko chuo....
Height nayo shidaaa duh maana had me nmekupita!!
its because in chuo girlsare lving in dream, and p.s, my height ni 160cm, nilikosea
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…