22 U.S. Embassies across the World Closed Due to Terrorism Threats

22 U.S. Embassies across the World Closed Due to Terrorism Threats

kwikwikwikwi....kwakwawaaa...lakini mbona Ufaransa imekuwa kimya sana dhidi ya Rwanda, kwani kunani?

ndugu yangu,hawa ngozi nyeupe wanajuana kwa unyoya...kagame kawatesa sana mfaransa kwa matusi, kejili pia kiburi..sasa mfaransa kapitia kwa mmarekani kum adabisha nduli kagame...kumbuka ya libya,choko choko alianzisha mfarasa baadae wakaingilia wamarekani..na kagame atangolewa tu kwa ukiburi wake na ulafi wa kufamia Drc (m23) .
 
Nadhani hapa kuna issues zinachanganwa. Ipo ya Kagame kuwasaidia waasi wa M23 wanaopigana kule Congo na tena kuna kikundi kinachopingaa na Rwanda nchini kwake ambacho ndicho JMK alishauri wapatane. Kwa mtazamo wangu Rwanda hawawezi kufunga ubalozi kw sababu hiyo. Labda kwa hii sababu ya kwanza ambapo hata Wamarekani wanataka madini ya Congo. Alqaida haipigi Rwanda bali Wamarekani wanataka kumwondoa Paulo madarakani kwa kuwaharibia mkate wao kama walivyommaliza Savimbi walipomwona amekuwa a nuisance kwao. Tahadhari. Hawa binadamu hawana rafiki wala adui wa kudumu. Tusichekelee sana. Mikataba mliosainii nao inatosha kabisa kukung'utwa nao mkienda kinyume.

Sent from my BlackBerry 9860 using JamiiForums
 
Mnaishi kwenu dunia yenu ya kipekee. Hamjui kinachoendelea kwenye hii dunia yetu! Zimefungwa balozi nyingi tu kwa tishio la ugaidi lakini kama kawaida ya watanzania....

Wewe ndiyo hujui kinachoendelea pole sana! Hivi tishio la Ugaidi la Afrika ya kaskazini ndiyo sababu ya kufunga ubalozi wao Rwanda iliyopo East-Central Africa?? Na kwanini ukanda huu ubalozi wa marekani Rwanda tu ndiyo ufungwe?? KALAGHABAHO wewe endelea tu kuamini hivyo.
 
Aibu sana kwa sisi Watanzania tunapenda sana udaku na kuvumisha umbeya. Ebu tujaribu kuwa critical japo kidogo tu. Habari iko wazi balozi zinafungwa kwa sababu za kigaidi lakini hapa kila mtu anapiga filimbi eti Rwanda sasa itapigwa na Marekani. Sasa kama hata hatutaki kusoma na kuelewa kinachotangazwa mimi nasema TUNA LAANA ya ukidaku, umbeya na uvivu wa kuelewa tena nasema TUPIGWE tu.
 
Mnaishi kwenu dunia yenu ya kipekee. Hamjui kinachoendelea kwenye hii dunia yetu! Zimefungwa balozi nyingi tu kwa tishio la ugaidi lakini kama kawaida ya watanzania....

soma habari vizuri ni balozi 19, ila hap case study ni kigali rwanda, je upo hapa.
 
Wewe ndiyo hujui kinachoendelea pole sana! Hivi tishio la Ugaidi la Afrika ya kaskazini ndiyo sababu ya kufunga ubalozi wao Rwanda iliyopo East-Central Africa?? Na kwanini ukanda huu ubalozi wa marekani Rwanda tu ndiyo ufungwe?? KALAGHABAHO wewe endelea tu kuamini hivyo.

..... the East African countries of Rwanda, Burundi, Mauritius and Madagascar were added to the U.S. embassy closures list on Sunday.....
US embassies in 4 African countries also closed - Las Vegas Sun News
 
Mnaishi kwenu dunia
yenu ya kipekee. Hamjui kinachoendelea kwenye hii dunia yetu! Zimefungwa
balozi nyingi tu kwa tishio la ugaidi lakini kama kawaida ya
watanzania....

huzijui siasa za marekani wewe,kwahiyo unaamini ubalozi wa kigali utashambuliwa na alqaaeda?marekani haimtaki kagame.
 
Mnaishi kwenu dunia yenu ya kipekee. Hamjui kinachoendelea kwenye hii dunia yetu! Zimefungwa balozi nyingi tu kwa tishio la ugaidi lakini kama kawaida ya watanzania....

haya mkuu
 
Back
Top Bottom