Mama mmoja aliyekuwa na mashetani alikwenda kupata msaada wa kiroho kwa askofu.
Basi mambo yalikuwa hivi:
Askofu: Shetani nakukemea kwa Jina la Yesu utoke na umuache mama huyu huru. Toka uende nyikani na usirudi tena.
Mama: mhhuu huu Yesu wangu.
Askofu: Nakukemea kwa jina la Yesu, Yesu wa nazareti na ukuu wake wote na nguvu zake zote: Utoke;
Mama: Akalegea sana kwani mashetani yalikuwa yamemtoka tayari:
Askofu: Enhee..! Unajisikiaje mama?
Mama: Najisikia kimahaba mahaba ya mapenzi
kama unamjua yesu usingetamka kudadeki
na mimi namwongezeaHey girls na ya kwangu ni hii hapa natakamchumbawamdatu@mapenzi.com