208

208

Kudate na vitoto vya shule kazi sana ...Nimekuta text "baby naomba 208"
baada ya kama nusu saa hivii ndo nikaja kuelewa alichomaanisha .. Eti "baby naomba tuonane"
Yaani nami ninako kamoja nimekazidi 22 yrs, msg zake zinanipa shida sana. Ila ni raha pia, no way!
 
Back
Top Bottom