Kana-Ka-Nsungu
JF-Expert Member
- Oct 4, 2007
- 2,257
- 373
Kuna watu wana fedha
IMO Messi made a very good decision to remain with BARCA.
Kuna watu wana fedha
Barca hawafanyi biashara ya kuuza wachezaji.A good football decision but very poor in the financial world, hata hao Barca should have just sold him from the financial point of view.
Barca hawajapanga bei ya kumuuza Messi, hiyo ni buy out clause iliyo kwenye mkataba wake na si bei ya kumuuzia.yeh... ANZHI mona wali activate hiyo clause baada ya week mbili, ilibidi barca wakae chini na messi kijana akakataa ofa... russia kuna watu PESAA!
Barca hawajapanga bei ya kumuuza Messi, hiyo ni buy out clause iliyo kwenye mkataba wake na si bei ya kumuuzia.
Anzi walishaikanusha hiyo taarifa kuwa ni uzushiUtakua ni either hujasoma habari yenyewe hapo juu au umesoma hujaelewa, ungeona kuwa kuna club ilifika hiyo bei na kama ikiwa hivyo club inakua haina jinsi tena, inakua ni uamuzi wa mchezaji mwenyewe.
Anzi walishaikanusha hiyo taarifa kuwa ni uzushi