2026 FIFA World Cup - Special Thread

Mjini Youtube,

Kuna huyu mwamba kutoka Brasil ambae amenunua Rights za kuonyesha Kombe la Dunia kwenye channel yake ya Youtube.

Na atakuwa analionyesha free. Kupitia channel yake ya CASA TV

Mwamba anaamini kuwa watu eana haki ya kuangalia mechi hii free.
 
Kwenye world cup hii Iran itakuwa inaishi na kulala nchini Mexico halafu inasafiri kwenda kucheza mechi zake za World Cup nchini Marekani.

Hii ni baada ya Marekani kukataa timu hiyo kuishi nchini Marekani wakati wa kipindi cha World Cup.

Jambo hili limeelezwa na Rais wa Mexico.
 
Kikosi cha Uholanzi

Ratiba yao;

๐Ÿ‡ฏ๐Ÿ‡ต Japan | June 14
๐Ÿ‡ธ๐Ÿ‡ช Sweden | June 20
๐Ÿ‡น๐Ÿ‡ณ Tunisia | June 25

 
Kikosi cha wenyeji Marekani

Ratiba yao;

๐Ÿ‡ต๐Ÿ‡พ Paraguay | June 12
๐Ÿ‡ฆ๐Ÿ‡บ Australia | June 19
๐Ÿ‡น๐Ÿ‡ท Turkey | June 25

 
Kikosi cha Panama

Ratiba yao;

๐Ÿ‡ฌ๐Ÿ‡ญ Ghana | June 17
๐Ÿ‡ญ๐Ÿ‡ท Croatia | June 23
๐Ÿด๓ ง๓ ข๓ ฅ๓ ฎ๓ ง๓ ฟ England | June 27

 
Hadi Cape Verde nchi ya watu 529,600 tu inashiriki kombe la dunia huku Tanzania nchi ya watu milioni 70 ikibaki kuishangilia Cape Verde kwenye runinga ๐Ÿ˜ฐ๐Ÿ˜ฐ๐Ÿ˜ฐ
Mbinu mwanetu, vipaumbele vyetu ni muhimu sana pia
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ