2026 FIFA World Cup - Special Thread

Kwenye Ballon d'Or eti Messi ndio jina la kwanza.

Aaah kumamamake hizi tuzo zimekaa kindugunization na connection.

Bila kuwa na mtu kwenye system huwezi kupata.

Imagine hii mechi bado haieleweki Messi anacheza nafasi gani kiwanjani.

Unaweza kudhani labda mechi ya leo imechezeshwa na marefarii wawili uwanjani kwasababu wote hawagusi mipira japo mmoja unaweza kumuona kwenye faulo.
 
Badala ya Messi unataka nani awekwe?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…