Pandisha link mkuuπππ Kuna jamaa kaachia distrack Kwa cr7 na mashabiki wake inatrend kinoma
ΒΏQuΓ© mirΓ‘s, bobo? AndΓ‘ pa' allΓ‘, bobo.πππ
kumekucha salama kabisa
Yah! Tangazo limekaa kitaalam kabisa Mtani.Tangazo kwa Umma:
Umoja wa Mashabiki wa Argentina nchini Tanzania (UMATA) tunawakaribisha katika mtanange wa Fainali mashabiki wote wa soka.
Mechi ya leo usije na matokeo yoyote, matokeo utayakuta hukuhuku.
Ikitokea tumefungwa, kumbukeni tayari tushabeba ndoo hiyo mwaka 2022 pale Qatar.
Mechi ya leo ni Dulla anakutana na Abdallah hivyo mashabiki nguli hasa wa Real Madrid mchukue tahadhari.
Vibonzo vyenu vihifadhini maana havina nafasi hata tukifungwa.
Tunatoa pole kwa mashabiki wote wa Mbuzi Pori kwa kuhama kila kichaka katika kipindi chote cha mashindano na bado wakakutana na vipigo.
Leo tunabeba ubingwa mwingine huku Mbuzi akitajwa kama Mchezaji Bora wa Mashindano na lile puto la Ballon dβor tunalitaka.
Karibuni sana kwenye mchezo wa Fainali.
Muione taarifa kwenye jalada
Shadeeya
uran
OHB11
mwaibile
Am_tunnechi
Espy_
Proved
Xi Jinping
moudgulf
View attachment 3632486
Unaanza kujitibu kisaikolojia mdogo mdogo.Tangazo kwa Umma:

Mwanetu umeanza kunena kwa lugha mapema mno.ΒΏQuΓ© mirΓ‘s, bobo? AndΓ‘ pa' allΓ‘, bobo.View attachment 3632489
Ndio ndio. Fainali tunayo na tunatamba nayo.kumekucha salama kabisa
Messi ameamka akiwa mzima wa afya kabisa,
Fainal tunayo na tunatamba nayo leo
πππUnaanza kujitibu kisaikolojia mdogo mdogo.
Ila mkilikosa mtaumia sana hakika.
Umemaliza kila kitu mtani. Usisahau mechi ni saa 4:00 usikuNdio ndio. Fainali tunayo na tunatamba nayo.
Niwasihi tu wale mashabiki wa goti leo wawe na mioyo ya uvumilivu kwani tukichukua kombe bila shaka utawanyoosha. π€£
Ugomvi wa ndugu wa damu huu, wasije kuingilia watapata manundu bure.Tangazo kwa Umma:
Umoja wa Mashabiki wa Argentina nchini Tanzania (UMATA) tunawakaribisha katika mtanange wa Fainali mashabiki wote wa soka.
Mechi ya leo usije na matokeo yoyote, matokeo utayakuta hukuhuku.
Ikitokea tumefungwa, kumbukeni tayari tushabeba ndoo hiyo mwaka 2022 pale Qatar.
Mechi ya leo ni Dulla anakutana na Abdallah hivyo mashabiki nguli hasa wa Real Madrid mchukue tahadhari.
Vibonzo vyenu vihifadhini maana havina nafasi hata tukifungwa.
Tunatoa pole kwa mashabiki wote wa Mbuzi Pori kwa kuhama kila kichaka katika kipindi chote cha mashindano na bado wakakutana na vipigo.
Leo tunabeba ubingwa mwingine huku Mbuzi akitajwa kama Mchezaji Bora wa Mashindano na lile puto la Ballon dβor tunalitaka.
Karibuni sana kwenye mchezo wa Fainali.
Muione taarifa kwenye jalada
Shadeeya
uran
OHB11
mwaibile
Am_tunnechi
Espy_
Proved
Xi Jinping
moudgulf
View attachment 3632486
Kabisa mkuuπππUgomvi wa ndugu wa damu huu, wasije kuingilia watapata manundu bure.
#Hallelujah!!!
Pendu anapitia wakati mgumu sana kwenye maisha yake ya soka, na hii chanzo ni yeye mwenyewe matambo mengi na kujiona bora kuliko wenzake majivuni mengi sana yule mswahili wa ureno.Mbappe - 10 goals in 1 world cup
Messi - 8 goals in 1 world cup
Haaland - 7 goals in 1 world cup
Bellingham - 7 goals in 1 world cup
Dembele - 7 goals in 1 world cup
Harry Kane - 6 goals in 1 world cup
Cristiano Ronaldo - 11 goals in 6 world cup
Waombe tu Messi abebe hili kombe kidogo hanaga mdomo nje ya uwanja, ila akichukua yule mwarabu koko wa spain watapata taabu sana hawa hala madrid penduz.Kabisa mkuuπππ