Sub ya Rashidi haikuwa ya kiufundi kuna gepu naliona.Zitakaa kiaskari sasa.
Hizo goli 2 ni call up kwao
Unataka kusemaje kijanaπ€£Kumbe ndo ulichokuwa unasubiri
Dah Mbappe anajipigia tuUlinzi wanapoteana sana
Ulikuwa unasubiri mabao ya MbappeUnataka kusemaje kijanaπ€£
Imagine mtu unasema tumeshashinda ngoja nilale. Unaamka asubuhi unaaambiwa zimerudi zote 4.England mumeshaharibu mood yangu
Natamani England akose mshindi wa 3Ulikuwa unasubiri mabao ya Mbappe
Watu walishaanza kusema wangecheza hivi na Argentina wangefika fainaliImagine mtu unasema tumeshashinda ngoja nilale. Unaamka asubuhi unaaambiwa zimerudi zote 4.
Hawa england wameshakuwa matapeli
Kwani England wamekufanya nini mkuuNatamani England akose mshindi wa 3
Na pia sitamani Mbappe amnyang'anye kiatu Messi
Yaan nashindwa kuelewa π
Wameniudhi sanaπππ Tuchel timu imemkataa kabisa
πKwani England wamekufanya nini mkuu
Au ulizuiliwa kuingia Uingereza?π
Anafosi mnoπππ Tuchel timu imemkataa kabisa
Ngoja tuone itakuwajeNamsubiri substitution za Mwingereza
Huyu kocha wakamtupe Chelsea wao watafute kocha mwingineπππ Tuchel timu imemkataa kabisa