We subiri mshindi wa tatu mkuu, huku hupaweziSafi, ngoja tuanze kazi sasa…
Dah aiseee sielewi hataSafi, ngoja tuanze kazi sasa…
Timu yake imefungwa 😂😂😂Infantinyoo anataka kulia Why??!
Baki njia kuuu binti utapoteaDah aiseee sielewi hata
Njia kuu ndio wapiBaki njia kuuu binti utapotea
Kombe tunalo hilo lakini? Kondoo wako ana wedikap ngap?Huyu mbuzi wenu mkitoka hapo mkamnywe tu supu
Bila mipenati na kupewa mifaulo ya Bure hatoboi😃
Washenzii wanajificha kwa England 🤣🤣England wapeni faraja mashabiki wa babu wa kireno wasahau kua beberu linastafu bila wedikap
Kondoo ni nani?Kombe tunalo hilo lakini? Kondoo wako ana wedikap ngap?