Countrywide
JF-Expert Member
- Mar 2, 2015
- 21,484
- 34,222
Anakuambia world cup ina mechi saba tu, sasa kama ni saba si ushinde hizo uchukue😆Mr almost aka mr stivu kulialia kwenye kila komba la dunia.
Almost is never enough
KWenye kundi zinapita timu ngapi?1-1
Shida ni nini?
Shida sio game ya Congo, shida ni kwamba kundi lilikuwa gumu kwasababu kulikuwa na timu 2 kubwa nitajie kwenye kundi lenu la Kikoba ni timu gani ilikuwa kubwa?
Bado unazidi kuwa slow zaidi, hizo timu vibonde kama wangezifunga goli nyingi wangeongoza kundi. Sijahesabia Colombia sababu Colombia sio kibonde na alipata draw, hivyo Portugal walipaswa kupiga nyingi hao congo na UzbekistanUmewaza vizuri, ila haukutakiwa kuishia hapo. Umesahau kulikuwa na Colombia ofsa?
Sasa hata hizo mechi tungeshinda bado tungeishia kuwa na point 7 ambazo ni sawa na Colombia na hii ndio ilikuwa inaonyesha jinsi gani kundi hili lilikuwa na ushindani.
Anaitafuta furaha kwa njia ngumu sana😃Jamaa anatumia hoja dhaifu sana..
Ingekuwa ni hivyo hata PELE asingetajwa kwenye record za dunia.
Sababu hajacheza top leagues.
Ujue analazimisha kuhalalisha MeSsi anakuwa anabebwa na FIFA.
Swali jepesi Kikosi cha Portugal ukilinganisha na Argentina timu ipi imara zaidi?
Portugal ana rank ya juu kisoka kuliko Colombia, hivyo tuliamoni Portugal ataongoza kundi. Sababu zingine zozote ni ujingaKWenye kundi zinapita timu ngapi?
Sasa ugumu uko wapi hapo?? Haya wewe na Colombia timu ipi ilikuwa inastahili zaid nafasi ya kwanza??
Mmeshindwa kuipata nafasi ya kwanza kwa uzuzu wa Ronaldo ila pro Ronaldo mnalificha hili.
G.Simeone ni mtu sana na ana pafu za mbwa hachoki, tulimuhitaji sana huyu mtu pale kati kuliko kina De Paul.Hii mechi inamuhitaji pia Nico Pazz na Barco. Ila ngoja tuone. Leo sina stress yoyote sawa ila akija messi itakua vizuri
Uzuri walishachukua tayari hivyo matokeo yoyote kwa Messi ni sawa tuG.Simeone ni mtu sana na ana pafu za mbwa hachoki, tulimuhitaji sana huyu mtu pale kati kuliko kina De Paul.
L. Messi atakuwa kwenye version moja hatari sana, tusubiri wakati tushuhudie miracle from him.🐐👑
#Hallelujah!!!
Washabiki wa Ronaldo mahaba yanawatesa sana , siku si nyingi watakuambia pia 2022 Argentina ilibebwa. Ndio maana nilimuuliza alitaka argentina ipangiwa watu gani??Portugal ana rank ya juu kisoka kuliko Colombia, hivyo tuliamoni Portugal ataongoza kundi. Sababu zingine zozote ni ujinga
Wana uoga sana, hawajiamini😆Washabiki wa Ronaldo mahaba yanawatesa sana , siku si nyingi watakuambia pia 2022 Argentina ilibebwa. Ndio maana nilimuuliza alitaka argentina ipangiwa watu gani??
Maan 2022 Baada ya kupita hatua ya makundi ikawa
1. 16 vs Australia
2. robo vs uholanzi
3. Nusu vs Croatia
4. Final vs France
Haya anataka tupewe timu zipi aamini tena maana hizo 2022 zote zilielekezwa kibla.
Hadi mimi🙆♂️🙆♂️🙆♂️Kuna watu humu huwa hawaingii kwenye huu uzi ila wakiona tu Argentina imefungwa basi wanajaa humu kibao. Ngoja niwaite wabaya wetu, team roho mbaya waje waone shoo za mungu Messi... Naomba leo afunge goli moja tu
Numbisa huyu ndo certified hater
Espy_
Makiwendo
Shadeeya
Angel Nylon
Depal
Wengine nimewasahau...
View attachment 3629780View attachment 3629781
Sasa hivi hawamsifii mbuzi wao wanailaumu FIFA.Wana uoga sana, hawajiamini😆
Wenyewe wamejionea goti mwitu hawezi kupiga hata shot on target mechi serious😆😆Sasa hivi hawamsifii mbuzi wao wanailaumu FIFA.
Kuna watu watakufa na preshaMessi hat trick 💥💥
Analitaka sana hili kombe, mfano ukitajirika huwezi kuacha kazi zaidi utazidi kupambana ufanikiwe zaidi.Uzuri walishachukua tayari hivyo matokeo yoyote kwa Messi ni sawa tu