joseph1989
JF-Expert Member
- May 4, 2014
- 19,399
- 41,520
Mbona Portugal kashika nafasi ya pili? Maana ulizungumzia Ranking, nimekuomba Ranking ya kundi la Ureno hukunipa then ili tucompare na Argentina.Tusiende mbali okay weka timu za kundi la Spain.Kwanza hiyo nafasi ya pili kwa lile group anashikaje?
Hata humu watu wamechambua na wamekuja kubaini hadi Taifa Stars kwenye lile kundi angeweza kupita.
Kwanza hiyo nafasi ya pili kwa lile group anashikaje?
Hata humu watu wamechambua na wamekuja kubaini hadi Taifa Stars kwenye lile kundi angeweza kupita.
Kumbe Portugal alipangwa kwenye group lenye timu 2, mi sikuwahi kujua.Portugal alishikaje nafasi ya pili kundi lenye Uzbekistan na congo?
Embu taja timu ambazo zingepangwa na Messi (Argentina) Basi unadhani ingekuwa ni kipimo tosha.Kumbe Portugal alipangwa kwenye group lenye timu 2, mi sikuwahi kujua.
Uko slow sana, nimetaja hizo timu sababu ni vibonde na endapo Portugal angezifunga zote angeongoza groupKumbe Portugal alipangwa kwenye group lenye timu 2, mi sikuwahi kujua.
Unamuona Colombia hapo?
Leta kwanza matokeo ya Ureno na Congo .. halafu twende mbele tena.Unamuona Colombia hapo?
Sasa nawewe nioneshe mpinzani yeyote ambaye Argentina amecheza naye kwenye kundi moja na unamuona hapo?
View attachment 3629783
Almost😆😆Kuna watu humu huwa hawaingii kwenye huu uzi ila wakiona tu Argentina imefungwa basi wanajaa humu kibao. Ngoja niwaite wabaya wetu, team roho mbaya waje waone shoo za mungu Messi... Naomba leo afunge goli moja tu
Numbisa huyu ndo certified hater
Espy_
Makiwendo
Shadeeya
Angel Nylon
Depal
Wengine nimewasahau...
View attachment 3629780View attachment 3629781
Hahahaaa. Hapo sitii neno mpaka aje mwanasheria wangu Greatest Of All Time.Kuna watu humu huwa hawaingii kwenye huu uzi ila wakiona tu Argentina imefungwa basi wanajaa humu kibao. Ngoja niwaite wabaya wetu, team roho mbaya waje waone shoo za mungu Messi... Naomba leo afunge goli moja tu
Numbisa huyu ndo certified hater
Espy_
Makiwendo
Shadeeya
Angel Nylon
Depal
Wengine nimewasahau...
View attachment 3629780View attachment 3629781
Timu ina viungo bora wa Dunia ina the so called Goat sijui Gout lakini inashindwa kumfunga congo. Shame on them😆Leta kwanza matokeo ya Ureno na Congo .. halafu twende mbele tena.
Kuna watu humu huwa hawaingii kwenye huu uzi ila wakiona tu Argentina imefungwa basi wanajaa humu kibao. Ngoja niwaite wabaya wetu, team roho mbaya waje waone shoo za mungu Messi... Naomba leo afunge goli moja tu
Numbisa huyu ndo certified hater
Espy_
Makiwendo
Shadeeya
Angel Nylon
Depal
Wengine nimewasahau...
View attachment 3629780View attachment 3629781
Umewaza vizuri, ila haukutakiwa kuishia hapo. Umesahau kulikuwa na Colombia ofsa?Uko slow sana, nimetaja hizo timu sababu ni vibonde na endapo Portugal angezifunga zote angeongoza group
Jamaa anatumia hoja dhaifu sana..Timu ina viungo bora wa Dunia ina the so called Goat sijui Gout lakini inashindwa kumfunga congo. Shame on them😆
Mr almost aka mr stivu kulialia kwenye kila komba la dunia.Almost😆😆
Kwamba ilikua bado kidogo tu apite kwenda robo fainali
Yaani kundi lenye congo, uzbekstan ndio lina ushindani??Umewaza vizuri, ila haukutakiwa kuishia hapo. Umesahau kulikuwa na Colombia ofsa?
Sasa hata hizo mechi tungeshinda bado tungeishia kuwa na point 7 ambazo ni sawa na Colombia na hii ndio ilikuwa inaonyesha jinsi gani kundi hili lilikuwa na ushindani.
1-1Leta kwanza matokeo ya Ureno na Congo .. halafu twende mbele tena.
😂😂😂😂Mwamba anaenda kuchukua Baron dor ya 9 nyie mmezubaa tu