2026 FIFA World Cup - Special Thread

Mtani uran haya niambie leo tabiri zako zinasemaje.

Au tuweke dau basi. 😂😂😂
Mtani leo hali sio hali.
Timu ninayoipenda zaidi England 🏴󠁧󠁢󠁥󠁮󠁧󠁿 inacheza na Timu nisiyoipenda kabisa.

Yaani leo kwangu Mpira kumoyo.

Nashangaa sina wasiwasi kabisa.
England anaenda kuifurahisha Dunia.
 
Hivi kuna ugumu gani wakushare hiyo reputable sources ya habari yako, ili tuachane na hizi chai unazo jitungia.
 
Naipenda England kwasabab ndio ligi ninayofatilia kwa 100%

weekend kwangu bila EPL maisha yanakuwa magumu

ila kila nikiangalia leo tathimini inaniambia anatolewa leo🥺

Huu ndio ukatili wa football unaumia tu Ata km hutaki😬
 
Kwa hiyo matokeo ya uwanjani ndio yameanza kwa mara ya kwanza kuonekana msimu huu?

Kivipi katika miaka 17 kusiwe na scenario kama hii ya timu moja kufika nusu fainali ikiwa haijacheza na timu kubwa kwenye top ten?

Nimekuuliza Argentina angeshika nafasi ya pili ungesema amebebwa?

Performance ya Argentina kwenye kundi lake ndio imedetermined akutane na nani,angezembea basi njia yake ingekuwa ngumu.
 
Hivi kuna ugumu gani wakushare hiyo reputable sources ya habari yako, ili tuachane na hizi chai unazo jitungia.
 
Nimekuuliza Argentina angeshika nafasi ya pili ungesema amebebwa?

Performance ya Argentina kwenye kundi lake ndio imedetermined akutane na nani,angezembea basi njia yake ingekuwa ngumu.
Kwanza hiyo nafasi ya pili kwa lile group anashikaje?

Hata humu watu wamechambua na wamekuja kubaini hadi Taifa Stars kwenye lile kundi angeweza kupita.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…